MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,353
Mkuu Tanzania ina makabila zaidi 120 kwani nyinyi mna kitu gani cha ziada kushinda makabila mengine - mpaka mfikie hatua ya kufikiri lazima mpewe special preference - mbona mpo wengi kwenye vitengo nyeti Serikalini na mashirika ya umma.Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Mkuu Tanzania ina makabila zaidi 120 kwani nyinyi mna kitu gani cha ziada kushinda makabila mengine - mpaka mfikie hatua ya kufikiri lazima mpewe special preference - mbona mpo wengi kwenye vitengo nyeti Serikalini na mashirika ya umma.
Same 2 U mkuu Malcom Lumumba.Watu wenye ukabila huwa siwaelewagi hata kidogo.
Happy New Year
Hasa pale TRA walifanya ni makao ya wachaga (northern) wanetu waliosoma mambo ya -kodi pale Moshi na kufaulu vema wakienda TRA kuomba ajira wanaangaliwa kama si ndg zao wa kaskazi ni NO..!
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
You are having a VERY wet dream enjoy it while it lasts.Tatizo jingine ni kwamba, hamuipendi ccm.
Na hapo k.koo mtahama tu!!!
Sasa kama wewe unakimbilia kusomea ualimu ni kosa la mchaga? Mchaga anaangalia kwenye pesa.
ungekuwa political analyst ungeelewa topic.....at the end nimeomba mchango kwa wachagga.....kama siyo Vunga
Mkuu kwema?Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.
Hapa Kazi Tu.
Najua, na hivi Unajua wachagga ndio wanaongoza kwa kukwepa kodi, kupiga dili, upendeleo kwa wao kwa wao,ubaguzi na wizi ulikithiri?Hivi unajua % kubwa ya wachaga ndiyo wanaendesha serikali kwa kukusanya mapato makubwa serikalini!!