Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mmeibia Nchi Hii Kwa Muda Mrefu Na Sasa Ni Lazima Muisome number kama Wakazi wa Mabondeni.
teh teh..unataka kusema wanabomolewa? hawa jamaa hawako mabondeni ila wamezidi uroho. walijidai wakidhani wangetuingiza choo cha kike na kudhani cdm yao itachukua dola wakaangukia pua.
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
wamangi acheni uroho. mlitaka kuingiza taifa choo cha kike mkaukwaa mkenge. sasa
 
e banaee mimi mchaga wa mashati rombo, nafurahia mafanikio ya watu wa home, ila jamani hii imekua too much, unaulizia wachaga kwenye serikali kipindi hiki ambacho ccm imezusha kwamba sisi tuna ukabila na ukanda na wa tz wengi wakaamini? unapisnzisha uzi kama huu kaka ndio unazidi kufunya watu waamini hivyo, kumbe si kweli
usiogope mkuu ccm wakikataliwa kwa majip yao wanazusha ukabila ukanda ili wakwapue makontena na pembe. Kauli za kuwabagua wachagga ni za kitambo,kina Rits diamond wanaendeleza tu.Kumbuka matusi kwa lowasa yalianzia chato. Kuuawa mawazo na kukataliwa mazishi ni hiyo Geita. Kampeni za nimestuka zilikua na message za kugawa
 
Ndalichako ni muha, mtu wa kigoma, Maghembe ni mpare mtu wa mwanga
Mbona Waha mnapendaga kujipendekeza hivyo? Warundi wakubwa nyie, mtarudi kwenu sasa hivi! Nani alikudanganya kwamba huyo mama ni Mha?
 
Kutesa kwa zamu. Hivi Sumaye hakuwa mchaga? Hata wakati wa Che Nkapa mkewe alikuwa mchaga. Wacheni kulialia Tanzania ni ya Watanzania uwe Nchaga, Nkwere, Mtindiga, Mmanyema, Hadzibo et al utakuwa kiongozi. Wacha ukabila wewe mbona wachaga wengi ndio waliokuwa wamejaa TRA etc?
Sumaye siyo mchaga. Kwan kaskazini yote ni kabila moja?
 
usiogope mkuu ccm wakikataliwa kwa majip yao wanazusha ukabila ukanda ili wakwapue makontena na pembe. Kauli za kuwabagua wachagga ni za kitambo,kina Rits diamond wanaendeleza tu.Kumbuka matusi kwa lowasa yalianzia chato. Kuuawa mawazo na kukataliwa mazishi ni hiyo Geita. Kampeni za nimestuka zilikua na message za kugawa
kweli ccm wanagawa watanzania kwa kuwaaminisha uongo mkubwa ili chadema ichukiwe sehemu nyingine za tanzania, sasa tukianza kuanzisha mijadala kama hii hata wale ambao walikua hawaamini wataanza kuamini, na imani ikishapandikizwa mkuu kuitoa ni ngumu, mi naona mijadala ya kuhusu makabila na kanda ingepigwa stop mpaka huu ukakasi wa uchaguzi mkuu uishe full... kuna mtu alianzisha uzi kuwaponda watu wa pwani na waislam nashangaa watu wakaanza kumponda anajiona na lazima atakua ni mchaga.. duh inawezekana kumbe hata hakuwa, aisee tuache hii mijadala haisaidii upande wowote
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
Nyie sio wachapakazi
Magufuli amechagua wachapakazi
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed

Kaka sisi Wapemba je tusemeje? Sio tumepata mtu mmoja tu kwenye serikali ya Muungano?
At least Wachagga mnatoka kutoka region moja tu, lakini bila ya sisi neno Tanzania halipo!
 
Usiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!
Makabila ya TZ ni zaidi ya 120 acha ungese....
 
Ukimaliza kusema wachaga wangapi, utakuja na waislam wangapi, ukimaliza waislam wangapi, utakuja wazanzibari wangapi, halafu wazanzibara wangapi...dhana ya ubaguzi ni mbaya sana...hii nchi si ya wachaga tuu..
 
Sio wasomii maanaa raisi ameangalia shilee ya mtu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom