Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mbona huwasemei wamasai, Kosa limefanywa na chama chenu! Kwa msimamo wenu Mchagga yeyote au mmasai aliyesimama kupingana na mgombea wa Chadema ktk maeneo yenu mlimpiga chini. ulitaraji Magufuli apate mawaziri toka wapi?
Lakini kweli ila huku uchagani kuna wabunge wamasai pia
 
Hahhahaa tuliza munkari mkuu....soma text vzr


NADHANI MFUMO WA ELIMU NDO UNATUGHARIMU HADI TUNAPATA MAWAZO KAMA HAYA YAKO.....NDALICHAKO ATATUSAIDIA
Kosa la massawe kutolewa kagera unafahamu?kabila.kaskazni.Wakuuu wa mikoa idara taaasisi itakuwa hivihivi.Magembe ni baaada ya watu kuhoji ukanda ziwa wa mheshimiwa.
 
Asante mkuu....noted

Wewe chukia tu,
Lakini kama Mchagga mwenzako ukweli lazima nikwambie,
Don't live in a fish bowl. Yale maneno ya kibaguzi tunayoambiwaga tukiwa na kina mjomba siyo lazima turudi nayo mjini.

This country is BIGGER THAN WACHAGGA, BIGGER THAN CCM and even more BIGGER THAN that MAGUFULI.


QUIT LIVING IN A FISH BOWL.
 
Uchanguzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
uchaguzi upiiiiii!, huo ulikuwa uchaguzi, hahahahahah
 
ila pale tra tulifurika

Haya sasa kuna miaka BIMA ilijaza Wanyakyusa; ofisi ikawa ova soko la Mwanjelwa.
Nyerere alivyowapangua wakaanza kulalamika eti ooh anachukia Watu wa Mbeya as if watu wengine siyo kitu.
Vitu vingine inabidi tumwogope Mungu tu.
Ukabili ni sumu.
 
Haya sasa kuna miaka BIMA ilijaza Wanyakyusa; ofisi ikawa ova soko la Mwanjelwa.
Nyerere alivyowapangua wakaanza kulalamika eti ooh anachukia Watu wa Mbeya as if watu wengine siyo kitu.
Vitu vingine inabidi tumwogope Mungu tu.
Ukabili ni sumu.
Unakumbuka enzi za bazili mramba pale wizarani?
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed
kilimsnjaro wamesema wao wanajitambua na wameimba kuombea ccm ife na kuzi kwa. wabunge wao ni cdm tupu. kuiua ccm bado kabisa ndio kwanza wananchi wameonyesha imani kwao tena. kwa hiyo uwaziri kivuli ndio nafasi zipo kwa wamangi.
 
e banaee mimi mchaga wa mashati rombo, nafurahia mafanikio ya watu wa home, ila jamani hii imekua too much, unaulizia wachaga kwenye serikali kipindi hiki ambacho ccm imezusha kwamba sisi tuna ukabila na ukanda na wa tz wengi wakaamini? unapisnzisha uzi kama huu kaka ndio unazidi kufunya watu waamini hivyo, kumbe si kweli
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed

uelewa wako mkuu upo sahihi kweli? hapo uliposema tu " you feel disappointed and segregated " kisha " labda wachagga wenzako wakusaidie kufanya analysis " tayari umeshaonyesha kuwa wewe ni mkabila pure. nilidhani labda mnaonewa ila kwa " upuuzi " wa aina hii hata kama ni kweli wachagga mnafanyiwa hivyo basi naona mnastahili. hivi mkoa uliosahaulika ni wenu tu? una uhakika? sisi sote ni Watanzania na hatutaki hiyo tabia yako mbaya ya " ukabila " na kwakuwa sasa ( yaani usiku huu ) kuna maombi kanisani na misikitini inaendelea hebu jitahidi uende kunakokuhusu " ukatubu " kwa Mwenyezi Mungu kwani nina uhakika ukiingia mwaka mpya wa 2016 na roho hiyo ya kibaguzi na ya kikabila ufanisi wako utakuwa ni below standard.
 
Uteuzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.

utakuwa wa keshimundu wewe si bure
 
Hakuna cha zamu wala nin, criteria ya utendaji ni moja, delivery tu, hata baba wa taifa nadhan alikuwa anakosea sana kutoa mifano ya kupokezana, kwa maana taifa la watu wenye upeo mdogo, haraka sana mind huwa zinacreate artificial trends hasa kama kuna elements za collinearity ktk jambo flan.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom