Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hezibo ndio kabila gani kiongozi?

Kabila la Hazda au wengine wanaita Hadzabe wanaishi karibu na ziwa Eyasi.

Tribe200707_468x403.jpg

TRIBESMAN200707_468x565.jpg
 
Mimi nachoamini ni kwamba MCHAGGA haepukiki! Ukimfungia huku anatokea huku. Na since independence Maendeleo ya Kilimanjaro yameletwa na wanakilimanjaro wenyewe. Hawahitaji kubebwa na waziri. Thats why hata usafi wa mji wao hawahitaji kutangaziwa ila ni utamaduni wao tangu mkoloni. Hata mleta mada analifaham hilo ila naona ameamua kuprovoke..
 
Nilindika hapa Magu na ukabila,Alivoenda kanda ya ziwa tabora hakuwa mtanzania na hatakuwa.Hata wa makabila mengine wamewekwa kuua sooo hawahitajiki, ni Ntemiship
Hili ni jambo zuri kisiasa kwakuwa bado kuna wana ccm wengi huko kusikotakiwa watastuka na kuimarika .Katalunya hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahhaaaa...nimeelewa sasa wa tz lazima tufike mahali tuelewe maana ya utaifa...kuleta mada ya uchagga tu imekuwa shida kabisa....hii inaonyesha jinsi gani watanzania tunajidai wamoja lakini si kweli....mitusi na kejeli kibao dhidi ya wachagga...Kumbe tunaukana ukabila tu midomoni.

Tanzania ni yetu sote bila kujali nani anaongoza..
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Wewe ndo unaanzisha chokochoko na hoja za kitoto.umoja upi unauzungumzia huku unasema wachagga wanabaguliwa. Hii mtaivuruga kwa upumbavu wenu.kwani lazima ujisikie we mchagga mbele za watu? Makabila mangapi hawajawahi kuwa hata na waziri?
 
HUNA AKILI WEWE.

TUTAFIKA MAHALI TUTAELEWANA TU KAMA TAIFA.....SOCIAL MEDIA SI SEHEMU YA KUKASHIFIANA NA KUJENGA UADUI BALI NI SEHEMU YA KUELEWESHANA NA KUBADILISHANA MAWAZO.

TUWAZE NAMNA YA KUJENGA TANZANIA AMBAYO INAONGOZA AFRIKA MASHARIKI NA KUWA MFANO WA AMANI NA MSHIKAMANO SIO UTENGANO. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
ta
ungekuwa political analyst ungeelewa topic.....at the end nimeomba mchango kwa wachagga.....kama siyo Vunga

tatizo lingine wachaga mpo wachache mno, wengi wenu mmekimbilia kwenye biashara za textile business(second-hand) on issues of politics u can not......nani wakumlaumu
 
Last edited:
Mbona hakuna mdigo, mzigua na idadi ya waislamu ni ndogo sana kulinganisha na cabinet zilizopita. U bora ni kupata wazalendo wachapa kazi , hata akiwaweka watu qa kabisa moja au dini moja. We need a clean government and functioning
 
Angalia wale wezi wa Bandar waliokamatwa na wanaotafutwa utapata jibu btw mbona kuna watu wa dini fulan wakihojo kutoteuliwa uchangiaji hauwi wa Aina hii?Jf nayo ni home of wanafiki
 
TUTAFIKA MAHALI TUTAELEWANA TU KAMA TAIFA.....SOCIAL MEDIA SI SEHEMU YA KUKASHIFIANA NA KUJENGA UADUI BALI NI SEHEMU YA KUELEWESHANA NA KUBADILISHANA MAWAZO.

TUWAZE NAMNA YA KUJENGA TANZANIA AMBAYO INAONGOZA AFRIKA MASHARIKI NA KUWA MFANO WA AMANI NA MSHIKAMANO SIO UTENGANO. MUNGU IBARIKI TANZANIA

Wewe ni mkabila,
Adui wa Utanzania,
Hutakiwi kuchekewa,
Inabidi uende ukaishi na wanyama porini.
Inabidi uogopwe kama UKOMA
 
ta

tatizo lingine wachaga mpo wachache mno, mmekimbilia kwenye biashara za textile business(second-hand) on issues of politics u can not......
Umesema sahihi kabisa. Chaggaz are not politicians. Chaggaz are fighters.
 
Wewe ndo unaanzisha chokochoko na hoja za kitoto.umoja upi unauzungumzia huku unasema wachagga wanabaguliwa. Hii mtaivuruga kwa upumbavu wenu.kwani lazima ujisikie we mchagga mbele za watu? Makabila mangapi hawajawahi kuwa hata na waziri?

Hahhahaa tuliza munkari mkuu....soma text vzr
 
Wewe ndo unaanzisha chokochoko na hoja za kitoto.umoja upi unauzungumzia huku unasema wachagga wanabaguliwa. Hii mtaivuruga kwa upumbavu wenu.kwani lazima ujisikie we mchagga mbele za watu? Makabila mangapi hawajawahi kuwa hata na waziri?

Hahhahaa tuliza munkari mkuu....soma text vzr
Wewe ni mkabila,
Adui wa Utanzania,
Hutakiwi kuchekewa,
Inabidi uende ukaishi na wanyama porini.
Inabidi uogopwe kama UKOMA
Wewe ni mkabila,
Adui wa Utanzania,
Hutakiwi kuchekewa,
Inabidi uende ukaishi na wanyama porini.
Inabidi uogopwe kama UKOMA

NADHANI MFUMO WA ELIMU NDO UNATUGHARIMU HADI TUNAPATA MAWAZO KAMA HAYA YAKO.....NDALICHAKO ATATUSAIDIA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom