Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Nataman Watz wote Tungekuwa Wachaga Maana Tungekuwa Among of g8 country ....Hii mikabila mingine since the'r have been brought they cant even fight for ther family succeed wanabaki kutuonea wivu wachaga na kusema tuwakabila while they own nothing compared to us

Wakati ninyi mnapiga majungu na kucheza bao sisi tunafnya kazi na kukuza uchumi wetu n kubaki midomoni mwenu kuwa ni wezi

G8 kwa kupitisha makontena na kutafutwa na polisi? unawafahamu wakinga na wandali wewe?? unajua wanavyozisaka hela? ushawahi hata kuwasikikia wakilalamika au hata kupiga kelele?? why you?

halafu we na we ni chadema, bisha, kataa!!
 
Kuna mawaziri wawili kutoka mkoa unaojadiliwa hivi sasa hapa jamvini wapo JELA wamehukumiwa kwa mpigo kwa makosa ya jinai. Je hatuwezi kutumia kama ni kielelezo?
 
Hata burundi na rwanda ,walianza hivi hivi, mtu mmoja anaanza kujisikia kabila lake halijatendewa haki, mara kabila zima linajenga chuki juu ya serikali yote.............
 
Asilimia flani ya wabunge wa kaskazini ni ukawa, so ingetegemea huruma yake km alivyofanya kikwete kwa Mbatia
 
Mimi sio mchaga lakini nilichukia sana nilipokuwa semina naibu waziri wa Jk akiwaamuru waandishi wa habari kuzima vyombo vyao,kisha yeye akatangaza mapambano na wachaga.
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
Safi saana, waacheni wachagga watoke serekalini wa endelee na ujasirimali, kwasababu ndio fani yao. Nakama serekalini ya awamu ya tano itaweka misingi mizuri ya kufanya biashara, sioni kwa nini wachagga wa endelee kufanya kazi serekalini.
 
Ukisema huna maana ya ukabila siyo kweli,mbona hujashangaa makabila mengine ambayo hayamo ktk uteuzi?hapo umeshaweka ukabila,yale yale yalowaletea madhara ktk uchaguzi mnaendelea nayo,mkuu amefanya uteuzi kwa watendaji na ni waTanzania na siyo kwa maana ya makabila.
 
ungekuwa political analyst ungeelewa topic.....at the end nimeomba mchango kwa wachagga.....kama siyo Vunga
Ni kweli kuwa wachagga jpm hawachagui na jibu liko wazi kabusa kwamba wachagga takribani wote walifanya kampeni nchi nzima ya kutomchagua jpm.Sasa ingawa miye sio msemaji wa jpm hizi ni hisia zangu tu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ndalichako ni muha, mtu wa kigoma, Maghembe ni mpare mtu wa mwanga
Wapare ni sehemu ya Uchagga ..,na katika lugha pana ukisikia wanaongelewa wachagga basi ujue ni jamii nzima ya watu wa milima au bonde la Ufa Kaskazini.
 
Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.

Hapa Kazi Tu.
Hivi kaskazini ndio wachaga?
 
Ni kweli kuwa wachagga jpm hawachagui na jibu liko wazi kabusa kwamba wachagga takribani wote walifanya kampeni nchi nzima ya kutomchagua jpm.Sasa ingawa miye sio msemaji wa jpm hizi ni hisia zangu tu
Lakini Huyu alituahidi kutumikia wote bila ubaguzi .....ukitazama kura alizopata Magufuli hakushinda kanda ya Kaskazini ....lakini alipata kura nyingi kwa mamilioni Ukanda Huo zilizompa ushindi .........Kama tuseme watu wote wa Kaskazini wasingempa kura hata Moja ni Wazi kuwa asingeshinda kwa kuwa mwenzake ....pia alishinda kwenye miji mikuu na huko pembezoni hakushinda lakini pia alipata kura
 
Safi saana, waacheni wachagga watoke serekalini wa endelee na ujasirimali, kwasababu ndio fani yao. Nakama serekalini ya awamu ya tano itaweka misingi mizuri ya kufanya biashara, sioni kwa nini wachagga wa endelee kufanya kazi serekalini.
Kwanza huko uchagani ...walioajiriwa serikalini ndio wanaonekana masikini ......that is the truth ...wenye pesa ni waliojiajiri, wakifuatiwa na walioajiriwa na mashirika ya kimataifa Ndani na nje ( huko interview zao hawaangalii kabila) ....wanafuatia wanataaluma Kama Madaktari,wanasheria ,watafiti ,engineers nao pia kazi zao zinategemea uwezo binafsi, watumishi wa umma ,wapanda milima na tour guides ,alafu wakulima ( hawa wameadhirika Sana na bei mbaya za Kahawa na kuendelea kupungua kwa eneo la Kulima)
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
Mbona unajipa presha ya bure.
Mridhike na mlicho kifanya.
Mzee Msuya juzi kalalamika hadharani, hata wajumbe wa CCM waliisaliti katika uchaguzi mkuu, na kuipa kura Ukawa.
Sasa kanda yote ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro wameipa kura UKAWA, mnategemea nini zaidi?

Kuna sehemu zilizoichagua CCM ya Magufuli, hao ndo wanastahili kupewa "zawadi" ya kumsapoti mzee wa push up.
Hiyo ni simple common sense, na ajabu ya mwaka hata Aggrey Mwanri mkampiga chini!
Lazima muelewe kuwa unavuna pale ulipopanda, usitegemee kuvuna uongozi wa CCM, wakati uliichagua UKAWA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom