Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

nimepigiwa simu na mtu yupo arusha ananiambia arusha pamepoaaaaaa hamna traffic jam na magari ya kifahari hayaonekani zimebaki spacio na rav 4 zinazunguka mtaani wachaga wameondoka na range rover zao

naona hata lema karudi moshi kupumzika
 
Mkuu I wish ungejua! Unataka ujue nini? Hawanibabaishi hao kaka/dada I can change cars as I wish ingawa sio mkwasi kihivyo ila hao wala hawanibabaishi! Wangapi tunawajazia mafuta kama sio kuwakopesha nauli! Nakwambia hivi waombe Mungu wasipate ajali as utawasikia wanavyoweweseka!

heee una wivu aisee cjui utakua mpare watani zetu looool
 
Hili ndo Tatizo kuu la ndugu zangu! Ukiwapinga sio mchaga! Nani kati ya wewe ujae leo na mimi niishie hapa! Umweli ni kuwa baadhi yenu muishio nje ya Kilimanjaro huwa mnatamani kututishia kuwa mnazo! Ukweli ni plae mtakapofikia kuondoka. MARK my word utanambia ndugu! Mikopo mimgiiiii!
 
mbona wazungumzia magari pekee
hujaona hiyo mijengo ya kufa mtu,mahoteli na barabara za kumwaga?
Moshi pekee tanzania wamejitahidi hata vijijini kumepangika
hawabanani kama dar na kila mtu ana njia yake ya kuingia kwake hata zimamoto zinafika bila shida ndani kabisa huko
 
hili ndo tatizo kuu la ndugu zangu! Ukiwapinga sio mchaga! Nani kati ya wewe ujae leo na mimi niishie hapa! Umweli ni kuwa baadhi yenu muishio nje ya kilimanjaro huwa mnatamani kututishia kuwa mnazo! Ukweli ni plae mtakapofikia kuondoka. Mark my word utanambia ndugu! Mikopo mimgiiiii!

heri nikope kuliko kukaa mwaka bila kula x mass nyumbani
 
mbona wazungumzia magari pekee
hujaona hiyo mijengo ya kufa mtu,mahoteli na barabara za kumwaga?
Moshi pekee tanzania wamejitahidi hata vijijini kumepangika
hawabanani kama dar na kila mtu ana njia yake ya kuingia kwake hata zimamoto zinafika bila shida ndani kabisa huko
Asee karibu! Ha haaaaa!
 
Ni kweli wengi wako vizuri kutafuta ila wengi wanaazima magari kwa kukodi ili waoshe jina huku kwao. Fedha yao nyinhi ya ushirikina sana. Mimi nimeishi huku mwaka wa tatu sasa. Kuna mengi ya wachaga hujayajua. Ni noma sana
 
Bora uwaambie nikisema naitwa mpare!
 
Ni kweli wengi wako vizuri kutafuta ila wengi wanaazima magari kwa kukodi ili waoshe jina huku kwao. Fedha yao nyinhi ya ushirikina sana. Mimi nimeishi huku mwaka wa tatu sasa. Kuna mengi ya wachaga hujayajua. Ni noma sana

wewe ndo wale wale, wachaga wameendelea sanaaa and it's a historical fact kwamba wakoloni wengi waliwahi kujieka kilimanjaro walipofika tanganyika wakajenga mashule na makanisa na wakaekeza kilimo huko huko so ni obvious wachaga wangekuja kuendelea tu
 
Mikoko ni matokeo ya huko wanakotokea.
Kwa siku 10 tu Kilimanjaro inàinngiza Bilions of money. Watu wa statistics kazi kwenu. Ukweli ni kwamba Kili. vijijini watu wanaishi decent life kuliko miji mingi ya Tanzania
 
Habari hizi za wachaga kila mwaka zinajirudia kwa swaga zile zile, mara kuna foleni za magari, mara watu wengi. Hoja ya kujiuliza hivi hakuna mchaga mwenye camera au cmu yenye camera atuwekee hapa picha na afafanue ni wapi zipo hizo foleni.
Kama kweli kuna foleni kwa nini hakuna chombo cha habari hata kimoja kinachoripoti hayo matukio ie ITV, badala yake vyombo vinaripoti msongamano wa abiria kwa kutumia usafiri wa mabasi tu. Ambapo hata wenyeji wa mikoa mingine wanaface hiyo changamoto. Ingependeza kinachozungumzwa kiwekwe na picha au camera hazifanyi kazi huko nipo huku kwa muda ingawa si mwenyeji wa huku na sioni kinachosemwa hapa.
 
kaka acha ku'hate unataka ITV watangaze jinsi mikoko ya maana ilivyojaa moshi ili muanze kuwa'lable na wao wakabila, kwenye ukweli ukweli ongea ukweli mimi sio mchaga lakini nimewakubali hawa jamaa ni watafutaji na pesa wanazooo
 
Hili ndo Tatizo kuu la ndugu zangu! Ukiwapinga sio mchaga! Nani kati ya wewe ujae leo na mimi niishie hapa! Umweli ni kuwa baadhi yenu muishio nje ya Kilimanjaro huwa mnatamani kututishia kuwa mnazo! Ukweli ni plae mtakapofikia kuondoka. MARK my word utanambia ndugu! Mikopo mimgiiiii!
Waswahili ndio zao. wivu tupu
 
Back
Top Bottom