Wachaga ni Noma!

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
838
1,000
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.

Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.

Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.

Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.

Naomba Kuwasilisha
 

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,180
1,195
Kweli mkuu, wengi wamesoma na kama unakuta ambaye hajasoma ni street smart unakuta ni entepreneur wa ukweli anaijua market vibaya mno na hana hata degree ya uchumi

Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
 

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
838
1,000
Sababu nyingine ninayoiona wengi wanakuja kutambiana na kuchapana bakora za macho na moyoni.

Me naona ni kitu kizuri kwa sababu wanaji'motivate wenyewe kwa wenyewe, mwaka huu unakuta wadogo zako wamekuja nyumban na Range Rover na wanaongelea kujenga maghorofa, wewe next year unajipanga uje na Mercedenz Benz GLK SUV na unaongelea how many shares kiasi gani kwenye kampuni kubwa kubwa na viwanda
 

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
838
1,000
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!

Kaka trust me wachaga wapo vizuri, wewe itakua umeona wivu tu wenzako uliosoma nao shule ya msingi wamerud na mikoko ambayo unaonaga kwenye movie tu, lol:D
 

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
838
1,000
hahaha, na bado. subiri xmass ijayo utashangaa zaidi ya hapo. big up chaggaz

Hatareee kaka mimi hapa boss wangu ni mkazi wa South Africa ila amenipigia simu amefikia hotel ya kilemakyaro huku huku moshi, hadi yeye ame'appreciate kwamba wachaga wameendeleaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom