mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
- Thread starter
- #21
mkuu unaondoka lini huku kwetu? Japo tusalimiane kama vp
Kaka nipo huku hadi jumapili nimefikia huku Marangu mtoni karibia na Kanisa la Kilutheri la Ashira
mkuu unaondoka lini huku kwetu? Japo tusalimiane kama vp
Nyie wa kuja ndo hamjui!
Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha
hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua
lake ama vipi!
subirini waje hapa wale chasaka uone coment zao hawata kuelewa mpaka na wenyewe wakashuhudie kama tomaso
Tehtehteh..... ni kweli aisee, wanakodi ili wakatambiane lol! mie mwenyewe kuna mtu kakodi ka-vitz kangu lol
Kaka trust me wachaga wapo vizuri, wewe itakua umeona wivu tu wenzako uliosoma nao shule ya msingi wamerud na mikoko ambayo unaonaga kwenye movie tu, lol😀
chasaka watakuja sasa hivi na kusema ni mfumo kristo, hii nchi!
Hahaha utavuta tu mkoko wako mama wory out, you people have money instincts in ur blood so it's just a matter of time
Chasaka ndo mdudu gani..????
Mangi njooni ila mnaondokaga bila kuaga ha ha haaaaHao watakua sio wachaga aisey, kwanza hio ni scandal kwenye ukoo ikijulikana unaazima ka'vitz uende nacho marangu unaeza hata kutengwa na radhi ukaachiwa
Mkuu I wish ungejua! Unataka ujue nini? Hawanibabaishi hao kaka/dada I can change cars as I wish ingawa sio mkwasi kihivyo ila hao wala hawanibabaishi! Wangapi tunawajazia mafuta kama sio kuwakopesha nauli! Nakwambia hivi waombe Mungu wasipate ajali as utawasikia wanavyoweweseka!
Mkuu I wish ungejua! Unataka ujue nini? Hawanibabaishi hao kaka/dada I can change cars as I wish ingawa sio mkwasi kihivyo ila hao wala hawanibabaishi! Wangapi tunawajazia mafuta kama sio kuwakopesha nauli! Nakwambia hivi waombe Mungu wasipate ajali as utawasikia wanavyoweweseka!
Tehtehteh..... ni kweli aisee, wanakodi ili wakatambiane lol! mie mwenyewe kuna mtu kakodi ka-vitz kangu lol
kwa nini umempa ?
wale ambao siyo wachaga
me siwezi amini kwa sababu nmetafuta booking ya tarehe 26 imeshindikana mpaka jmosi ndo kutakuwa na nafasi kwa hiyo bado wengi wameend na mabasi ya abiria wasituchuze siye lohHao watakua sio wachaga aisey, kwanza hio ni scandal kwenye ukoo ikijulikana unaazima ka'vitz uende nacho marangu unaeza hata kutengwa na radhi ukaachiwa
Kaka nipo huku hadi jumapili nimefikia huku Marangu mtoni karibia na Kanisa la Kilutheri la Ashira
me siwezi amini kwa sababu nmetafuta booking ya tarehe 26 imeshindikana mpaka jmosi ndo kutakuwa na nafasi kwa hiyo bado wengi wameend na mabasi ya abiria wasituchuze siye loh
Wewe mratibu sema huyo uliyeenda naye na sio wote! Hilo la huyo lisemee as si wewe uko naye (sijui cheo chako pale kazini kwake) ila naskia wachaga siku hizi nomaa zaidi ya wakinga! Sina ukakika mangi usinihukumu! LolAaaaaaah lakin mimi huyu mtu niliyeenda naye anasukuma mkoko wa ukweli tu na ninajua ni gari yake na ana vitega uchumi vingi tu sasa unataka kuniambia na yeye ameazima na hana pesa ya kuweka mafuta...????