Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

Namna mojawapo ya kujitanua na kujionyesha ni kusimulia kama third party. We ni mchaga wa Marangu umeona ukijisemea tutakuona pi.mbi lakini ka ni hivyo pole tu pia.
Noma si kuwa na kamkweche, gari ni kaburi tu. Wengine tunayo ila hatujitapi nayo humu jf. Njoo chukua funguo ukaoneshe kwenu. Si tunaita kuosha jina ka hao walivyokwenda osha jina huko kwao.
 
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!

Watu wamejipanga wewe, acha wivu wa kike!! Kama uliiona Range nyekundu ni yangu na sijaikodi wala nini!! Kwanza hapo home kwetu unapachukuliaje!!
 
Namna mojawapo ya kujitanua na kujionyesha ni kusimulia kama third party. We ni mchaga wa Marangu umeona ukijisemea tutakuona pi.mbi lakini ka ni hivyo pole tu pia.
Noma si kuwa na kamkweche, gari ni kaburi tu. Wengine tunayo ila hatujitapi nayo humu jf. Njoo chukua funguo ukaoneshe kwenu. Si tunaita kuosha jina ka hao walivyokwenda osha jina huko kwao.
wivu mbaya hujenga chuki.
 
Wakifa watazikwanayo jombaaaa!
Fikra mgando. Kwahiyo wasiwe na magari sababu hiyo au!? Halafu wachagga ni kabila pekee Tz wasio na tabia ya kupiga MAJUNGU. Wao ni kazi tu na maendeleo.
 
chagga.jpg 10750112_375588959263324_8545232571082827085_o.jpg

Maendeleo hatukuyaanza leo... kama mnavyoona tangia miaka ya 1950's watu tunajenga barabara na vituo vya huduma ya afya.. Umeme uchaggani umeingia tangia miaka ya 50's.. Nyie mkiwa mnakusanya pesa za unyago na kusubiri serikali uwajengee barabara na kuwaletea umeme, sisi tuliyafanya hayo miaka 50 iliyopita. Kamwe hatuwezi kuwa sawa. Uchagani kuna kila huduma, Hotels, Banks, Hospital hadi filling stations mpaka gesi unaipata kule mgombani... Kuna wazee wa kichaga wana share nyingi tu kwenye bank kubwakubwa Kenya lakini utawakuta wametulia zao kule kijijini anafuta Peugeot yake na kuchoma mahindi mdogo mdogo, jioni anaingia pale Protea Hotel ama Kilno Park anakula bia zake anarudi nyumbani kulala..
 
Watu wamejipanga wewe, acha wivu wa kike!! Kama uliiona Range nyekundu ni yangu na sijaikodi wala nini!! Kwanza hapo home kwetu unapachukuliaje!!

Ha ha ha haaaaa Range nyekundu! Mi nilikuona unavyogombania ticket ya Ngorika! Vipi ulifika salama?
 
Wanafanya kazi kwa bidii acha wavune walichopanda
 
Umefika nyumbani tu unakuta wadogo zako wote wana ma'usafiri halafu we ndo mkubwa unafikiri ntaacha kuparangana na mim nipate hata vitz? Karibu machame ndgu!

Duh nimesoma Nronga ndugu yaan kiukweli machame nyumba ya udongo ni ya kutafuta au ni banda la ng'ombe jaman hadi raha
 
View attachment 217043View attachment 217044

Maendeleo hatukuyaanza leo... kama mnavyoona tangia miaka ya 1950's watu tunajenga barabara na vituo vya huduma ya afya.. Umeme uchaggani umeingia tangia miaka ya 50's.. Nyie mkiwa mnakusanya pesa za unyago na kusubiri serikali uwajengee barabara na kuwaletea umeme, sisi tuliyafanya hayo miaka 50 iliyopita. Kamwe hatuwezi kuwa sawa. Uchagani kuna kila huduma, Hotels, Banks, Hospital hadi filling stations mpaka gesi unaipata kule mgombani... Kuna wazee wa kichaga wana share nyingi tu kwenye bank kubwakubwa Kenya lakini utawakuta wametulia zao kule kijijini anafuta Peugeot yake na kuchoma mahindi mdogo mdogo, jioni anaingia pale Protea Hotel ama Kilno Park anakula bia zake anarudi nyumbani kulala..

Nimeipenda hii,big up chagga
 
Kwa kweli wachaga katika kutafuta Pesa ni mfano wa kuigwa.Navutiwa sana na utamaduni wa hawa watu katika swala la kutafuta pesa.Big up Wachaga kazeni buti.
 
Back
Top Bottom