Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

nathubili kuwathikia "baba dhao na mama dhao wa thame "
 
Wewe mratibu sema huyo uliyeenda naye na sio wote! Hilo la huyo lisemee as si wewe uko naye (sijui cheo chako pale kazini kwake) ila naskia wachaga siku hizi nomaa zaidi ya wakinga! Sina ukakika mangi usinihukumu! Lol

Heeeeeeeehhhh...????
 
wewe mratibu sema huyo uliyeenda naye na sio wote! Hilo la huyo lisemee as si wewe uko naye (sijui cheo chako pale kazini kwake) ila naskia wachaga siku hizi nomaa zaidi ya wakinga! Sina ukakika mangi usinihukumu! Lol

utakufa na chuki zako
 
hao wakiona mambo ayaendi wako lazi kushika bunduki wala awaaminiki
 
dah huko kote nakupata mkuu, viwanja vya kula bata ndio usiseme hapo Marangu mtoni Hosea drive inn, kwa Clara, kwa mama Sia, kwa Mato.

Hahahahaha mkuu marangu patamuuu, Big up sana nimewakubali, kama vipi tutafutane kesho mkuu sio mbaya wana'jf tukijumuika marangu kwa mama sia kupata safari lager za baridiii
 
mkuu i wish ungejua! Unataka ujue nini? Hawanibabaishi hao kaka/dada i can change cars as i wish ingawa sio mkwasi kihivyo ila hao wala hawanibabaishi! Wangapi tunawajazia mafuta kama sio kuwakopesha nauli! Nakwambia hivi waombe mungu wasipate ajali as utawasikia wanavyoweweseka!

nilikuwa nafikiri unawapa kumbe unawakopesha? Mbona hata serikali ya marekani inakopa? Acha wivu !
 
Hahahahaha mkuu marangu patamuuu, Big up sana nimewakubali, kama vipi tutafutane kesho mkuu sio mbaya wana'jf tukijumuika marangu kwa mama sia kupata safari lager za baridiii

Umekuja na ....dume ama unajipongeza tu! Shauri yako!
 
hao wakiona mambo ayaendi wako lazi kushika bunduki wala awaaminiki

Kaka hawa watu huwa wana'hustle sana yani damu na jasho kutengeneza pesa mingi sasa ndo maana huwa hawaogopi chochote kwani wameshapita sehemu nyingi za hatari hadi kupata hayo mafwedha ndo maana kukutoa uhai kwao sio inshu
 
bana wengine mnamajina ya kisharishari mi staki kujibizana na wewe. Ila si kweli kuwa siku hizi hamlali manzojenga huku kijijini mnalala hotelini?

majeshi siyo jina la kishari au hujui kazi ya jeshi? Kulinda mipaka ya nchi! Za kuambiwa changanya na zako, fika moshi ujionee
 
Kaka hawa watu huwa wana'hustle sana yani damu na jasho kutengeneza pesa mingi sasa ndo maana huwa hawaogopi chochote kwani wameshapita sehemu nyingi za hatari hadi kupata hayo mafwedha ndo maana kukutoa uhai kwao sio inshu
Shemeji bana haya! Karibi shemeji mi niko makao makuu ya Kilimanjaro
 
Kweli nimebahatika kukaa kule kwa muda wa kutosha nyakati kama hizi kwa wale ambao hamjajipanga ni muda wa kufkiri juu ya kujipanga tena mana the guys are doing very well, sio makaz tu hata hivi viusafiri vyetu kwa kweli unahamasika kuwa kama wao.
Vitu vingine tukubali na tuvichukue kama changamoto ili na ss tulete mabadiliko ktk jamii zetu. Mambo Mazuri yanafaa kuigwa
 
halafu wanawake wa kilimanjaro wazuriiiiiiiiiii kama wameshushwa, watoto wako elegant vibaya mno halafu upstairs wako vizuri duh kweli moshi patamuuuuu
 
Hichi ndio kipindi cha wazee wa uchagani na ndugu waliopo kijijini kutabasamu kipindi cha mavuno
 
Back
Top Bottom