Wengine tumeenda kwa mama, UK. Moshi tumeishakuchokaHalafu mwaka huu nadhani wachaga wengi sanaaaa wameenda makwao kilimanjaro kipindi hiki cha sikukuuu kuliko hapo miaka ya nyuma
Wengine tumeenda kwa mama, UK. Moshi tumeishakuchoka
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha
hata wenye bcycle tupo huku, tuanfukuzana na hizo range rover
Kwa dhana hiyo hiyo tungetegemea kuwepo na maendeleo kama hayo ya Moshi, kule Lushoto, Njombe, Ndanda, Mgeta etc lakini ni kinyume chake!wewe ndo wale wale, wachaga wameendelea sanaaa and it's a historical fact kwamba wakoloni wengi waliwahi kujieka kilimanjaro walipofika tanganyika wakajenga mashule na makanisa na wakaekeza kilimo huko huko so ni obvious wachaga wangekuja kuendelea tu
hahahahaha mkuu jitahidi next year ununue japo ford ranger au nissan navara itakufaa sana kwa milima ya huko
Mkuu Lokissa kiukweli hiyo mijengo kule ni mwisho!
Nikiwa DTV, alipokufa mfanyakazi mwenzetu Amina Mongi (RIP) tukatia timu Marangu!, kufuatia ugeni mkubwa kule baadhi ya Wanamarangu akiwemo Dudley Mawalla, wakatoa acess ya mijengo yao ku host waombolezaji, mimi na baadhi yetu tukapangiwa kufikia nyumbani Dudley hapo Marangu!, mjengo ni balaa!. Ni mgorofa white umepanda kama ikulu!, kila chumba self na TV ya dish kule kijijini!, ememe, maji ni ya bomba hadi hot water!, jumba lote linaishi na mlinzi tuu mwaka mzima ni krismass mpaka krismasi au ukitokea msiba au shughuli ya kumrudisha mmiliki!. Hayo mahoteli ya huko, ikiwemo Capricon, Nakara etc usipime!. Barabara ni lami safi!. Hali ya hewa AC natural!, ukiimagine kule kijijini kwetu mashishokholokubangashee!, Nyumba za udongo zilizoezekwa kwa nyasi!, umeme umepita barabarani tuu tukiangalia waya!, maji ya ya kisima rangi ya udongo!, barabara ni vumbi tupu!, unabaki unajiuliza hivi ni Tanzaniaa hii hii?!.
Pasco
Uliona gari yangu pale kilema karibu kanisani??? Rolls royce phantom.black on black
Tehtehteh..... ni kweli aisee, wanakodi ili wakatambiane lol! mie mwenyewe kuna mtu kakodi ka-vitz kangu lol
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha
embu tumia akili kijana nani anaweza kukukodishia hata corolla tu kama u dont worth corrola? embu we kama unauwezo wa corolla nenda kakodishe hiyo range 2012 tuone!Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
embu tumia akili kijana nani anaweza kukukodishia hata corolla tu kama u dont worth corrola? embu we kama unauwezo wa corolla nenda kakodishe hiyo range 2012 tuone!
Na tukichagua rais toka huko kila mmoja atamiliki hizo mikoko.
mpe kura lowasaa au dr slaa
Lazima tukubali tu hawa jamaa poteza mbaya
Saka ni pori, so CHASAKA ni wa porini!!Kumbe hadi mimi ni chasaka, hahaahaha
Naomba kirefu cha hili neno