Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

Kweli nimebahatika kukaa kule kwa muda wa kutosha nyakati kama hizi kwa wale ambao hamjajipanga ni muda wa kufkiri juu ya kujipanga tena mana the guys are doing very well, sio makaz tu hata hivi viusafiri vyetu kwa kweli unahamasika kuwa kama wao.
Vitu vingine tukubali na tuvichukue kama changamoto ili na ss tulete mabadiliko ktk jamii zetu. Mambo Mazuri yanafaa kuigwa

Kaka asante sana kwa kuongea ukweli mtupu bila prejudice na bias ya aina yoyote, Much Respect
 
Hahahahaha mkuu marangu patamuuu, Big up sana nimewakubali, kama vipi tutafutane kesho mkuu sio mbaya wana'jf tukijumuika marangu kwa mama sia kupata safari lager za baridiii

usiniambie ushapanda hadi vile vingazi kuelekea kigorofani, tuombe uzima vishughuli vya kesho vikiisha haraka tuta meet
 
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!

Mkuu hata kama mtu amekodisha gari akaenda nalo huko mliman bado ni moja ya mafanikio kwake kwenda na gari la kisasa na lenye gharama kuliendesha mfano mafuta peke yake ni gharama hivyo bado nawapa big up wachagga wooote walioweza kurudi nyumbani kuwasalimia wazazi ndg jamaa na marafiki
 
Hichi ndio kipindi cha wazee wa uchagani na ndugu waliopo kijijini kutabasamu kipindi cha mavuno

Wazee wenyewe wa kichaga wengi wamesomaaaaa balaa na wengi wapo exposed yani ukikaa na hawa wazee utapata knowledge ya ziada jinsi gani ya kupiga hela
 
Lakini wanaonikera zaidi ni wale wanaowasema vibaya bila sababu za msingi, KISA KIKUU NI WIVU
 
Mkuu hata kama mtu amekodisha gari akaenda nalo huko mliman bado ni moja ya mafanikio kwake kwenda na gari la kisasa na lenye gharama kuliendesha mfano mafuta peke yake ni gharama hivyo bado nawapa big up wachagga wooote walioweza kurudi nyumbani kuwasalimia wazazi ndg jamaa na marafiki

Tuje kwenye reality. Is there any necessity to hire a massive car just for show off? Kama wewe ni mtafutaji huitaji watu wakusifu kwa hizo gari bali kwa wewe the way you are! Huo ni ushamba! Mkuu amini hawa jamaa wana nyumba za hatari huku kwao! Hawawezi kulala humo! Kwao siku hizi wamezidisha mataahira (sio wote)! Logwa umwambie mzee wa kichaga kuwa unampeleka dar kwa matibabu! Thubutu!
 
Nimepigiwa simu na mtu yupo Arusha ananiambia Arusha pamepoaaaaaa hamna traffic jam na magari ya kifahari hayaonekani zimebaki spacio na rav 4 zinazunguka mtaani wachaga wameondoka na range rover zao
 
ha ha ha haaaaa ulisema dada zenu mkuu! Tangia lini dada zenu wakawa vyasaka?

acha chuki na dawa ya hizo chuki zako ni kujenga kwenu na kuanza kuwatembelea wazazi wako bila kuona aibu, tatizo unafiki umekujaa unatanua mjini kwenu hakuingiliki . Viva wachaga
 
acha chuki na dawa ya hizo chuki zako ni kujenga kwenu na kuanza kuwatembelea wazazi wako bila kuona aibu, tatizo unafiki umekujaa unatanua mjini kwenu hakuingiliki . Viva wachaga

Shemejiiiii karibia moshi bana
 
tuje kwenye reality. Is there any necessity to hire a massive car just for show off? Kama wewe ni mtafutaji huitaji watu wakusifu kwa hizo gari bali kwa wewe the way you are! Huo ni ushamba! Mkuu amini hawa jamaa wana nyumba za hatari huku kwao! Hawawezi kulala humo! Kwao siku hizi wamezidisha mataahira (sio wote)! Logwa umwambie mzee wa kichaga kuwa unampeleka dar kwa matibabu! Thubutu!

ngastuka, unaelezea maovu unayoyafanya kwenu!
 
Back
Top Bottom