Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Mzee naona test yako nzuri.

Mimi

SUV - BMW X5 or X3 or X6, Range au Discovery mpya mpya, GMC ya ki FBI, Chevrolet la kibabe

Sedan - BMW 3 series, Tesla, Benz C Class, Audi A4,

Truck - Ford Ranger, hapa kazi kazi

Sport Car - hapa mzigo wowote kutoka Italy.
 
Mzee umetaja gari 600 haha.
 
Mzee naona test yako nzuri.

Mimi

SUV - BMW X5 or X3 or X6, Range au Discovery mpya mpya, GMC ya ki FBI, Chevrolet la kibabe

Sedan - BMW 3 series, Tesla, Benz C Class, Audi A4,

Truck - Ford Ranger, hapa kazi kazi

Sport Car - hapa mzigo wowote kutoka Italy.
Haya ma GMC ya ki FBI siku nikonusa mkwanja mwingi la zima niichukue .
 
October man,

Duuuh! Ila inasikitisha malengo yanaenda kubadilika badala ya kusaka utajiri sasa tunapigania uhai! Aliyeleta corona alaaniwe!

1. Mercedes Benz GLE 350 4Matic ya mwaka 2020, nimetokea kuielewa sana hii gari!

2. Audi Q8 ya mwaka 2019

3. Range Rover Vogue 2018 up (Overfinch Bodykit au Bespoke)

4. Nissan Safari 2005 4x4 😂😂😂 hapa imetimia but naiweka coz sina ingine iliyochukia gape kwa sasa!
 
Hakuna ndinga kama hii!
_20200410_065306.JPG
 
Ntaanza Jeep Eagle Wrangler either Sahara au Rubicon Unlimited, Hii ndio SUV ninayoielewa.

Then ntakuja kwenye 2019 BMW 7 Series 750Li Hiki chuma nakielewa sana. Kwanza napenda gari ndefu. Halafu napenda jinsi grill lake lilivo kubwa.

Mwisho kabisa ni 2019 Audi A8L. Aiseee hizi sedan ndefu halafu zina grill kubwa nazipenda hadi kuumwa.

Kuna benz C class naona watu wengi wanaielewa ila mimi siielewi kabisaaa.
 
Back
Top Bottom