Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Michezo ya electronics ndiyo huwapumbaza watoto wa vizazi vipya....Adidas ni brand kubwa sana iliyojipambanua ktk vifaa vya michezo
Michezo ya electronics ndiyo huwapumbaza watoto wa vizazi vipya....Adidas ni brand kubwa sana iliyojipambanua ktk vifaa vya michezo
Nini kimekufanya ukasirike kiasi hikiVinyemi ndio nn
Hiki ni kipindi cha lala salama ndiyo maana watu wanachanganyikiwa, Kukasirika na kufoka ni sababu ya ugumu wa maisha..!!!Nini kimekufanya ukasirike kiasi hiki
Maisha yamekuwa magumu kuliko chumaHiki ni kipindi cha lala salama ndiyo maana watu wanachanganyikiwa, Kukasirika na kufoka ni sababu ya ugumu wa maisha..!!!
Chuma cha reli kipo mkoa wa Tabora !!!Maisha yamekuwa magumu kuliko chuma
Ameshirikishwa kutoa hotuba yake baada ya wasikilizaji kuondoka ukumbini.....!!Chuma ndio wimbo mpya wa Chid Benz, Raymond ameshirikishwa
Madaha waliyo onesha shangazi kwa mkwe wao sikuamini nilicho kiona !!!!Ukumbini bibi harusi aliingia kwa mikogo na madaha
Wangu mwalimu anafundisha hesabati bila kutumia maandishi.....Nilichokiona ni siri ya macho, akili na moyo wangu
Maandishi yanatakiwa yaandikwe kwa ufasaha hasa katika hotuba za waheshimiwaWangu mwalimu anafundisha hesabati bila kutumia maandishi.....
Waheshimwa, Waadhama, Wakarama, Watakatifu na Wakongwe hao hadhi zao ni heshima....Maandishi yanatakiwa yaandikwe kwa ufasaha hasa katika hotuba za waheshimiwa
Heshma ya viongozi wetu ni kuongelea mambo yanayowapa changamoto wananchi na kuyafanyia kaziWaheshimwa, Waadhama, Wakarama, Watakatifu na Wakongwe hao hadhi zao ni heshima....
Kazi kubwa iliyopo bungeni ni kubuni utoaji wa ajira haraka kwa wahitimu......Heshma ya viongozi wetu ni kuongelea mambo yanayowapa changamoto wananchi na kuyafanyia kazi
Nzuri hekima humfanya kila mtu akuheshimuMbeya ina mandhari na hali ya hewa nzuri
Wahitimu wanapata tabu mtaani tena wanaingia hasira sana kuona miaka inakwenda na ajira hawapati, ubaya zaidi ni pale viongozi wanapowaambia waende kulima shambaKazi kubwa iliyopo bungeni ni kubuni utoaji wa ajira haraka kwa wahitimu......
Shamba la bibi limedoda, wajukuu wanavuna matunda yangali mabichi na wajomba wanakatiana ardhi na kupiga bei watakavyo hatimaye kukipambazuka.....Wahitimu wanapata tabu mtaani tena wanaingia hasira sana kuona miaka inakwenda na ajira hawapati, ubaya zaidi ni pale viongozi wanapowaambia waende kulima shamba