Zake zote zimeliwa na jamaa hasa 0713Mungu mwenye wingi wa Rehema na atuongoze katika njia zake
Zake zilipo hesabiwa zilikuwa pungufu ...Mungu mwenye wingi wa Rehema na atuongoze katika njia zake
Ushindi nimeuweka akiba hadi sasa nawapa uwanja members wote tuchangie....Pungufu ilimnyima ushindi
Tope!Asili ya binadamu ni nini..?
Tope lilifinyangwa na kuumbwa binaadam roho ikapuliziwa akaweza kuishi ma kujamiana na kuzaana hadi umma ukatanuka !!Tope!
Mihogo inapatikana huku Afrika na India pekee, Jee huko Ulaya na Marekani inapatikana??Ukatanuka utumbo baada ya jamaa kula mihogo
Wareno ndiyo walioleta wakati walipotoka kuvumbua India katika kurejea ndo wakaleta...!!Inapatikana, mbona Africa ililetwa na wareno
Wakaleta wake zao ili tuwakague hatukuwakuta na BikraWareno ndiyo walioleta wakati walipotoka kuvumbua India katika kurejea ndo wakaleta...!!
Faraghani huko kambini walipo panga njama ya kupindua serikali ya Burundi mwaka uliyopita..Bikra bikra. Tuletee ishu zinazojadilika hadharani, hayo ya bikra watajuana mtu na mumewe faraghani