Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kudorora kwa shughuli za biashara Tz ni dalili za uchumi kushuka au watu bado hawana uhakika na misimamo ya serikali
 
Kufanikisha japo kutumika kwa utaratibu gani hasa juu ya masuala ya biashara, kutawapa watu wengi imani na uhakika wa nini wanafanya.
 
Kipaumbele hakuna kwani taasisi husika pia hazijiamini kufanya maamuzi yoyote yasije yakaenda kinyume na serikali kuu.
 
Back
Top Bottom