Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Sana sana umesha sahau aliyeimba, ila wakumbuka mwenza uliyeserbuka naye !!!Harambee harambe mama harambenyimbo ya siku nyingi umenikumbusha mbali sana
Sana sana umesha sahau aliyeimba, ila wakumbuka mwenza uliyeserbuka naye !!!Harambee harambe mama harambenyimbo ya siku nyingi umenikumbusha mbali sana
Naye simkumbuki lakini si vibaya ukinikumbusha sababu mimi nakumbuka tukiwa shuleni bado wadogo tunaimbaSana sana umesha sahau aliyeimba, ila wakumbuka mwenza uliyeserbuka naye !!!
Tunaimba nyimbo za kudumisha uhuru na uzalendo.....Naye simkumbuki lakini si vibaya ukinikumbusha sababu mimi nakumbuka tukiwa shuleni bado wadogo tunaimba
Uzalendo kwa ajili ya nchi yake ulimpa manufaa makubwa sana ndugu yanguTunaimba nyimbo za kudumisha uhuru na uzalendo.....
Yangu mm tamuUzalendo kwa ajili ya nchi yake ulimpa manufaa makubwa sana ndugu yangu
Tamu kivipi hebu tuionje kama kweliYangu mm tamu

kweli ya irk ni taamu maana yaonesha kawaonjesha wengi, imeshadhihiri.. !!😛Tamu kivipi hebu tuionje kama kweli![]()
Imeshadhihiri tayari anamaanisha keki aliyoipika mwenyewe kwenye sikukuu ya kuzaliwakweli ya irk ni taamu maana yaonesha kawaonjesha wengi, imeshadhihiri.. !!😛
Kuzaliwa na kufariki ni siku inayo kusanyisha na kujumuika watu pahala maalum !!Imeshadhihiri tayari anamaanisha keki aliyoipika mwenyewe kwenye sikukuu ya kuzaliwa
Maalum kila mtu atakufa na kuzikwa hivyo ni vizuri kufanya matendo mema yanayompendeza MunguKuzaliwa na kufariki ni siku inayo kusanyisha na kujumuika watu pahala maalum !!
Ubaguzi haupendwi na Mungu, Ndo maana katuumba ndani ya miezi tisa na kutufinyanga na damu nyekundu.....Mungu humpenda mwema na mbaya, hana ubaguzi
Nyekundu ni rangi kama rangi nyingine lakini mara nyingi huashiria hatari au umwagaji wa damu na ndo maana haipo katika bendera yetu ya taifaUbaguzi haupendwi na Mungu, Ndo maana katuumba ndani ya miezi tisa na kutufinyanga na damu nyekundu.....
Msimbazi ni jina la mto wa maji yatokayo baharini huingi kwa kasi..., ila maana ya neno Msimbazi sijui asili yake wapi limetokea !!!!Nyekundu kama wekundu wa msimbazi
Limetokea mbali sababu hata Tshs Elfu 10 inaitwa msimbazi kisa rangiMsimbazi ni jina la mto wa maji yatokayo baharini huingi kwa kasi..., ila maana ya neno Msimbazi sijui asili yake wapi limetokea !!!!
Rangi ya wanafiki imeumbuliwa hapo bungeniLimetokea mbali sababu hata Tshs Elfu 10 inaitwa msimbazi kisa rangi
Kwingineko kuna nyesha mvua ila hapa kwetu pakavu....Rangi na jina ni maarufu kwa sehemu za Dar tu na si kwingineko
Pakavu pataliwa na mchuziKwingineko kuna nyesha mvua ila hapa kwetu pakavu....