Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kuuguliwa kwa magonjwa ya uchumi hutafanya tuduwae kifikra pasipo na azma ya kutafuta muarobaini wa kuponyesha !!!Kipaumbele hakuna kwani taasisi husika pia hazijiamini kufanya maamuzi yoyote yasije yakaenda kinyume na serikali kuu.