Mnyaman kauzu
Member
- Jun 26, 2016
- 77
- 56
Moderator wakibongo wote miyeyushoooo
Miyeyushoo nae yaleyale hafati utaratibu wa kuchangia,kila mchangiaji mpya tunaomba asome post no:-01 kwa ufafanuziModerator wakibongo wote miyeyushoooo
Kaboom umeshaingia humu... ujue kutoka hadi upewe idhini na wenyeji.....😛Samahani imepokelewa kwa taadhima, ya leti tusameheani sote hapo kwa hapo Mr kaboom !!
Ufafanuzi wa kodi ya miamala mie bado sijaielewa sasa sijui nimuulize afisa wa mapato ?Miyeyushoo nae yaleyale hafati utaratibu wa kuchangia,kila mchangiaji mpya tunaomba asome post no:-01 kwa ufafanuzi
Mapato ya wapi wakati ninayoyajua miye yashakusanywaUfafanuzi wa kodi ya miamala mie bado sijaielewa sasa sijui nimuulize afisa wa mapato ?
Yashakusanywa michango ya harusi, ila mapato ya taifa huko wizarani ndiyo yanaleta sintofahamu...!!Mapato ya wapi wakati ninayoyajua miye yashakusanywa
Sintofahamu ya kina Miyayusho na Michosho ya kutofata utaratibu wa kuchangia mnatuchoshaYashakusanywa michango ya harusi, ila mapato ya taifa huko wizarani ndiyo yanaleta sintofahamu...!!
Mnatuchosa kwa kututungia sheria kila kukicha... tunashindwa kuelewa mustakabali....Sintofahamu ya kina Miyayusho na Michosho ya kutofata utaratibu wa kuchangia mnatuchosha
Mnatuchosa kwa kututungia sheria kila kukicha... tunashindwa kuelewa mustakabali....
hahahah kwavile ID yako inaanz na Z bas hukubal kushindwa duh!!!! za masiku mkuuWanaheshimiana kwa kuwa mtu na shemeji yake, mtu na mtani wake, Mtu na mshirika wake hadi shamabani wapo kiujamaa !!!
Katiba ndio dira ya kutofikisha huko tuendako... Jee chombo hiki kipo salama?Mustakabali wa taifa hili ni mgumu kama uongozi hautafata demokrasia na katiba
Mkuu MeToo kwangu kwema namalizie mfungo huu mubaraka, ila na hofia siku za iddi.....hahahah kwavile ID yako inaanz na Z bas hukubal kushindwa duh!!!! za masiku mkuu
Iddi aliimbwa sana na msanii juma nature enzi hizo ns ulibamba kweliMkuu MeToo kwangu kwema namalizie mfungo huu mubaraka, ila na hofia siku za iddi.....
Kweli walisema wahenga ya kale dhahabuIddi aliimbwa sana na msanii juma nature enzi hizo ns ulibamba kweli
Dhahabu iliwaponza wababeliKweli walisema wahenga ya kale dhahabu
Wababeli ninasikitikia huko Iraq wamekuwa wanyonge baada ya kuwa maSimba.. dunia ni duwara yamewakuta !!!Dhahabu iliwaponza wababeli
Yamewakuta sina haba waswahili walisema mtaka nyingi nasaba humkuta mingi misibaWababeli ninasikitikia huko Iraq wamekuwa wanyonge baada ya kuwa maSimba.. dunia ni duwara yamewakuta !!!
Misiba ikikuandama hakuna wa kuyapooza ispokwa jalali tu, maana wengine hukulenga wanyakue ngawira na rasilimali.....Yamewakuta sina haba waswahili walisema mtaka nyingi nasaba humkuta mingi misiba
Misiba ya tz fulu vituko..Yamewakuta sina haba waswahili walisema mtaka nyingi nasaba humkuta mingi misiba