Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Amazing jinsi wana JF tunavyouthamini uwepo ZZ kati yetu, ni burudani.
 
Mrefu kwa kuwa una washiriki. ZZ na wote jongera zenu kwa kukamilsha Mfungo wa Ramadhani, ns ahsante kwa mwaliko wa Ied El Fitr! Nawataki Eid njema yenye Z Furaha na Amani!
 
Nawapongeza washiriki wote wa uzi huu mrefu...
Mrefu tuliona mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza kumbe ni siku chache sana,shukura sana ZZ kwa mwaliko nami nawatakia kheri Eddie Fitr njema kwa wanajamvi wote kwa kuwataja wachache nianze na Mgogo1,Zuly, Zemarcopolo nimepokea salamu zako,Auz bila kumsahau Amazing na wengine wote ambao sikuwataja mtanisamehe naomba tuwe pamoja.
 
Mrefu tuliona mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza kumbe ni siku chache sana,shukura sana ZZ kwa mwaliko nami nawatakia kheri Eddie Fitr njema kwa wanajamvi wote kwa kuwataja wachache nianze na Mgogo1,Zuly, Zemarcopolo nipokea salamu zako,Auz bila kumsahau Amazing na wengine wote ambao sikuwataja mtanisamehe naomba tuwe pamoja.

Pamoja na wengine humu ndani, tunapenda kukutakia sikukuu njema ya Eid...
 
Pamoja na wengine humu ndani, tunapenda kukutakia sikukuu njema ya Eid...
Eid Mubarak wanajamvi wote
1467742300597.jpg
1467742319432.jpg
 
Mrefu tuliona mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza kumbe ni siku chache sana,shukura sana ZZ kwa mwaliko nami nawatakia kheri Eddie Fitr njema kwa wanajamvi wote kwa kuwataja wachache nianze na Mgogo1,Zuly, Zemarcopolo nimepokea salamu zako,Auz bila kumsahau Amazing na wengine wote ambao sikuwataja mtanisamehe naomba tuwe pamoja.
Pamoja tutadumu! Shukran Mtebetini, nami nawatakia wote Eid El Fitr njema!
 
Back
Top Bottom