othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 2,005
- 2,812
Matendo ya vijana wengi wa siku hizi,hayarizishi hasirani.Tija utaipata wapi wakati hakuna kipimo cha kupimia utendaji wa matendo
Matendo ya vijana wengi wa siku hizi,hayarizishi hasirani.Tija utaipata wapi wakati hakuna kipimo cha kupimia utendaji wa matendo
Hasilan siwezi acha kuwasalim nyote hamjambo?Matendo ya vijana wengi wa siku hizi,hayarizishi hasirani.
Hamjambo wanajamvi tunasalimiwa nami naitikia kwani niaba yenu hatujambo hofu na mashaka ni kwako uliyetupoteaHasilan siwezi acha kuwasalim nyote hamjambo?
Uliyetupotea na ukaadimika kama mzizi wa jiwe... Jamani haifai kutupana barazani....Hamjambo wanajamvi tunasalimiwa nami naitikia kwani niaba yenu hatujambo hofu na mashaka ni kwako uliyetupotea
Barazani ni eneo la kupitiapitia ukijaliwa kila siku japo mara mbiliUliyetupotea na ukaadimika kama mzizi wa jiwe... Jamani haifai kutupana barazani....
Hamjambo mabingwa zetu... mulisepa baada kutwa ubingwa!! karibu tena tuendeleze ligi....Hasilan siwezi acha kuwasalim nyote hamjambo?
Mbili mbili ni idadi ya viungo tulivyoumbwa na Mwenyeezi Mungu Mtukufu katupendelea.....Barazani ni eneo la kupitiapitia ukijaliwa kila siku japo mara mbili
Katupendelea sana Mwenyezi Mungu kwani Mwanadamu ni kiumbe aliyeboraMbili mbili ni idadi ya viungo tulivyoumbwa na Mwenyeezi Mungu Mtukufu katupendelea.....
Aliyebora kati yenu ni mcha Mungu, Na aliyetukuka mbele yenu ni yule mwenye kuwafaa wenzie...Katupendelea sana Mwenyezi Mungu kwani Mwanadamu ni kiumbe aliyebora
Wenzie lazima uwaenzi toka enzi ya Adamu na HawaAliyebora kati yenu ni mcha Mungu, Na aliyetukuka mbele yenu ni yule mwenye kuwafaa wenzie...
Hawa hawa ndiyo waliyomponza mwanafunzi mwenzao kuchukuliwa na mafuriko......Wenzie lazima uwaenzi toka enzi ya Adamu na Hawa
Mafuriko hutokea kila mvua za masika zinaponyesha na waliojenga kwenye bonde la Msimbazi huwa mashakaniHawa hawa ndiyo waliyomponza mwanafunzi mwenzao kuchukuliwa na mafuriko......
Mashakani pale inapokuja bomoabomoa bila taarifa au ilaani ya mwanzo....Mafuriko hutokea kila mvua za masika zinaponyesha na waliojenga kwenye bonde la Msimbazi huwa mashakani
Mwanzo haukosi mwisho daimaMashakani pale inapokuja bomoabomoa bila taarifa au ilaani ya mwanzo....
Daima ukiwa mpole ktk dunia hii utaonewa na kusumbuliwa.....Mwanzo haukosi mwisho daima
Sunnah yetu haitumiki ovyo ovyo, tafadhali tupe walao tafrija katika imani zetu.... ushukuriweKusumbuliwa mtoto wa kike ni sunah
Ushukuriwe pia kwa ufafanuzi mzuri..SamahaniSunnah yetu haitumiki ovyo ovyo, tafadhali tupe walao tafrija katika imani zetu.... ushukuriwe
Samahani imepokelewa kwa taadhima, ya leti tusameheani sote hapo kwa hapo Mr kaboom !!Ushukuriwe pia kwa ufafanuzi mzuri..Samahani