Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Vituko ni ujanja na njia ya kujipenyeza ndani ya maudhui wenye uhakika......Misiba ya tz fulu vituko..
Vituko ni ujanja na njia ya kujipenyeza ndani ya maudhui wenye uhakika......Misiba ya tz fulu vituko..
Vituko vinanogesha vitimbi vilivyotokeaMisiba ya tz fulu vituko..
Yamewakuta yapi wanajamvi mbona kimyaWababeli ninasikitikia huko Iraq wamekuwa wanyonge baada ya kuwa maSimba.. dunia ni duwara yamewakuta !!!
Kimya kinapatikana katika misiba kadhaa unakuta watu maarufu kuwa waropokaji, Lakini msibani hunywea !!Yamewakuta yapi wanajamvi mbona kimya
Hunywea kwasababu ya kupotelewa na maswahiba waoKimya kinapatikana katika misiba kadhaa unakuta watu maarufu kuwa waropokaji, Lakini msibani hunywea !!
wao ndo wana nguvu, keki wailaHunywea kwasababu ya kupotelewa na maswahiba wao
Mengine unayachokonoa wewe Zuly... usiulize kisichokuwepo machoni.....!!😛Kulala hujalala Nansor kisa keki au kuna mengine
Mengine unayachokonoa wewe Zuly... usiulize kisichokuwepo machoni.....!!😛
Yetu maisha yanahitaji Kipindi kama Ramadhan kuweza kujifunza namna bora ya kuishi kama atakavyo Al Manan, dua yako tuseme AmeenMachoni ndio mfungo unatukimbia.nawatakieni wafungaji wa mwezi huu mtukutu kila la kheri MwenyeeziMungu atufanyie wapesi katika maisha yetu
Yetu maisha yanahitaji Kipindi kama Ramadhan kuweza kujifunza namna bora ya kuishi kama atakavyo Al Manan, dua yako tuseme Ameen
nasubiria mwalikoMkuu MeToo kwangu kwema namalizie mfungo huu mubaraka, ila na hofia siku za iddi.....
Misiba ikikuandama hakuna wa kuyapooza ispokwa jalali tu, maana wengine hukulenga wanyakue ngawira na rasilimali.....[/QUOTE
rasilimali ni kitu bure lakini viongozi wetu wamkuwa vifure
Bongo na siasa za kufuata upepo kumridhisha kiongozi mkuu, wananchi hawana chaoMaigizo ni mengi sana katika siasa za bongo
Eidd tu, mpendwa Me2 na Zaidi ya Eidd utaalikwa kila munasaba utahudhuria kama guest of honor...!!nasubiria mwaliko
wa EID
Duniani tulidhani tupo milele kumbe dunia ni ni kitu duni, tunaondoka hapa na kuacha vyote hatimaye tusahaulika.....Honour wazazi wako upate Kheri na miaka mingi duniani
Duniani kuna raha na karaha...Tunasahaulika kama ilivyotokea kwa mababu na mabibi zetu. Wakati mwingine najiuliza nini dhamira ya kuzaliwa hapa duniani?