Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ujitosee nje ya huu mchezo, ulidhani utamtegea ZZ asiweze kuendeleza herufi zako zisizoeleweka. Big up ZZ. Hapo umeshindwa njoo na mbinu nyingine

Nyingine Auz watu wengine hawapendi wenzao wawe Na furaha ya chemsha bongo.Humu JF ziko uzi nyingi za ugomvi wa siasa,drama za mapenzi,umbea Na mengi tu.Kijijini kwetu hawa watu tunawaita vidudu mtu.
 
Nyingine Auz watu wengine hawapendi wenzao wawe Na furaha ya chemsha bongo.Humu JF ziko uzi nyingi za ugomvi wa siasa,drama za mapenzi,umbea Na mengi tu.Kijijini kwetu hawa watu tunawaita vidudu mtu.
Mtu mzima ni dawa kwa jamii..., akikupa ushauri ni bora uufanyie kazi na kuendeleza ubunifu .....
 
Back
Top Bottom