mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Wataitumia wapi wakati unatibua uchangiaji?Usipojituma kutumia akili yako wenzio wataitumia
Wataitumia wapi wakati unatibua uchangiaji?Usipojituma kutumia akili yako wenzio wataitumia
Nini Bi Zuleykha huoni youngkato aliyochofanya hakufata utaratibu wa kuanza na neno la mwisho kakurupuka!Uchangiaji wa nini ?
Kakurupuka kama shabiki wa yanga kutegemea mechi na TP zembe.....Nini Bi Zuleykha huoni youngkato aliyochofanya hakufata utaratibu wa kuanza na neno la mwisho kakurupuka!
Zembe ? Haa kumbe unawaogopa yanga eKakurupuka kama shabiki wa yanga kutegemea mechi na TP zembe.....
Young Africans ilikuwa Enzi za pobap Kitwana,sunday Computa,Maulid Dilunga G/Sembuuli siyo hawa wa magoli kwa vikapu....😛Zembe ? Haa kumbe unawaogopa yanga e
Vikapu kama vya kuendea Mariketi NgamianiYoung Africans ilikuwa Enzi za pobap Kitwana,sunday Computa,Maulid Dilunga G/Sembuuli siyo hawa wa magoli kwa vikapu....😛
Yangu ina haki miliki, japo wababaishaji walijaribu kupindisha mkataba.....Ngamiani sijafika muda ila ni sehemu muhimu katika historia ya maisha yangu
Malipo stahiki ni lazima nidai sinto waachia hao waghushaji......Mkataba uuridhie ukiwa na wakili, ili ukipindishwa ulipate malipo.
Fundisho unalonipa ndg.Mpendwa Auz nakushukuru sana kunielekeza nisichoke kudai masilahi....Waghushaji washitaki ili walipe, iwe onyo na fundisho
Utaipata ile hati adhimu iliyofichwa kuukana urithi wa ukoo wenu......Masilahi ni haki yako, itacheleweshwa tu ila utaipata
Makinda wa njiwa hutumika katika uganga ushirikina......Hata njiwa Ana Makinda
Jamii yetu hii ina ugonjwa wa kuiga !! Yaani kila wakiwaona "wanaSiasa wafanyavyo" basi punde tu nao utaona wakifuata nyendo na kuiga maovu bila kukadiria matokeo au tija....Ushirikina ni kitu kibaya sana katika Jamii
Tija utaipata wapi wakati hakuna kipimo cha kupimia utendaji wa matendoJamii yetu hii ina ugonjwa wa kuiga !! Yaani kila wakiwaona "wanaSiasa wafanyavyo" basi punde tu nao utaona wakifuata nyendo na kuiga maovu bila kukadiria matokeo au tija....