Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Binaadamu ni kiumbe dhaifu na mwenye ulimi usiokuwa na mfupa lakini ulimi huo una hatari lukuki.....😛😛😛!!

Lukuki umelonga ZZ maana ulimi unaanzisha ugomvi.viungo vingine vinateseka.Ulimi unatukana Halafu unapigwa Rungu la kichwa.Ukiulizwa Hali ya kichwa Ulimi wa kwanza kujibu "sijambo" tuchunge Ulimi
 
Lukuki umelonga ZZ maana ulimi unaanzisha ugomvi.viungo vingine vinateseka.Ulimi unatukana Halafu unapigwa Rungu la kichwa.Ukiulizwa Hali ya kichwa Ulimi wa kwanza kujibu "sijambo" tuchunge Ulimi
Ulimi huu.. ha-ha-ha-ha umeweka bayana ya kiungo hiki wazi, Lakini nani wakulielewa ispokuwa wachache wenye busara.....
 
Busara na hekima Ni upeo maana sio kila mtu anao.Wasomi Ni Wengi Lakini wenye busara Na hekima Ni wachache
Wachache duniani ni wavumbuzi wa kitu... wakifuatiwa na kidogo wenye kupenda hivo vitu.. ila wengi waliyobaki ni kusemana, kutetana na kusengenyana !! kweli tutafika ?
 
Wachache duniani ni wavumbuzi wa kitu... wakifuatiwa na kidogo wenye kupenda hivo vitu.. ila wengi waliyobaki ni kusemana, kutetana na kusengenyana !! kweli tutafika ?
Tutafika lakini labda miaka mingi sana ijayo, ila kwa hali ilivyo sasa hamna matumaini hata kidogo
 
Back
Top Bottom