Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Amani ni kitu muhimu sana katika maendeleo ya taifa, na tanzania inasemekana ni moja kati ya nchi zenye amani, sasa sijui kwanini hatuendelei

Hatuendelei Kwa sababu tunalaumu badala ya ya kudhibiti miradi iliyo mbele yetu.
Leo humu JF Nzalendo aliongelea kuhusu Sumbawanga.Kesho panapo majaaliwa Biko Sumbawanga kuangalia mashamba
 
Back
Top Bottom