Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kiujima bila kupitia mafunzo ya Ujamaa haitosaidia mfumo wa "hapa kazi tu" 😀Kiujamaa imeshindikana kuendesha nchi; labda iendeshwe kiujima.
Kiujima bila kupitia mafunzo ya Ujamaa haitosaidia mfumo wa "hapa kazi tu" 😀Kiujamaa imeshindikana kuendesha nchi; labda iendeshwe kiujima.
"Hapa kazi tu" inabidi slogan hii baada ya mwaka ifanyiwe tathminiKiujima bila kupitia mafunzo ya Ujamaa haitosaidia mfumo wa "hapa kazi tu" 😀
Tathmini ya nini, wakati kazi zinaonekana wazi?"Hapa kazi tu" inabidi slogan hii baada ya mwaka ifanyiwe tathmini
Wazi zinaonekana hilo halina ubishi, tathmini inaweka sawa kumbukumbu.Tathmini ya nini, wakati kazi zinaonekana wazi?
Kumbukumbu yangu ya mwisho kupiga selfie(nyeto)ilikuwa ni jana asubuhiWazi zinaonekana hilo halina ubishi, tathmini inaweka sawa kumbukumbu.
Majadiliano yalinishinda nikakaa pembeni kutokana na lugha alinikwaza,niliogopa kusema nisije nikaambiwa kidomodomoAsubuhi njema ndugu, tusisitize lugha zisizotukwaza ili kila mtu afurahie haya majadiliano
Ushauri wangu ni kuwa wa kali katika kukemea maovu yasiyo kuwa na faida !!!Kidomodomo utaonekana kama tu haelewi nini kinachoendelea, mwenye ufahamu atakuelewa na kufuata ushauri
Faida za Kiufufuo ndo zinanifanya watu wakubaliane na ushauri wakoUshauri wangu ni kuwa wa kali katika kukemea maovu yasiyo kuwa na faida !!!
Wako yupo imara atashirikiana nawe kujenga mtandao wa kisasa.....Faida za Kiufufuo ndo zinanifanya watu wakubaliane na ushauri wako
dodoma mji uliojaa maskini wa akili na kipatoKisasa inapatikana Mkoa wa Dodoma.
Dodoma inazalisha zao la zabibu kwa wingi.....Kisasa inapatikana Mkoa wa Dodoma.
Kipato changu kina tofautiana na kipato chako hivyo kila ndege huruka kwa ubawa unaomtosha....!!dodoma mji uliojaa maskini wa akili na kipato
Kipato changu kina tofautiana na kipato chako hivyo kila ndege huruka kwa ubawa unaomtosha....!!
Yake kamba ndiyo majaliwa aliyo umbiwa nayoUnaomtosha ndio kuna methali inayo sema
"Kila mbuzi anakula Kwa urefu wa Kamba yake"
Yake khaswa umeinitolea methali ya asili na fasaha !!!Unaomtosha ndio kuna methali inayo sema
"Kila mbuzi anakula Kwa urefu wa Kamba yake"
nayo itamgusa kwa kuwa wote walihusika katika kupanga njama za kumdhuru !!Yake kamba ndiyo majaliwa aliyo umbiwa nayo
Kumdhuru binadamu mwenzio ni kitendo kisichopendezanayo itamgusa kwa kuwa wote walihusika katika kupanga njama za kumdhuru !!