Tunashida gani kwenye nchi yetu pamoja na utajiri tuliyonao,swali zito linataka tafakuri ya kina maana kuna matatizo lukukiTazama jinsi nchi ilivyo na utajiri wa mali za asili nashindwa kuelewa tunashida gani
matatizo lukuki ndiyo identify ya mwafrikaTunashida gani kwenye nchi yetu pamoja na utajiri tuliyonao,swali zito linataka tafakuri ya kina maana kuna matatizo lukuki
Mwafrika samoo ulale sasamatatizo lukuki ndiyo identify ya mwafrika
Sasa akilala nani atatujibu hoja zetuMwafrika samoo ulale sasa
Salama salmin ila milango ipo wazi kwa wanajamvi wengine ambao hawapo hapa nyumbani wapo kwenye mabara mengine duniani waendele kuchangia maana muda unatofautianaHoja zetu zitajibiwa tukiamka salama
Wote tumekuelewa kumbe milango ipo wazi ahsanteKuchangia ni haki ya yeyote, bila kujali wapi walipo. JF ya wote



Wote tumekuelewa kumbe milango ipo wazi ahsante
![]()
Ahsanteni ningeitamka kama ingekuwa nawashukuru wengi mi nimemshukuru Auz kwa ufafanuzi wake kosa liko wapiAhsante wingi wake ni ahsanteni
Ahsanteni ningeitamka kama ingekuwa nawashukuru wengi mi nimemshukuru Auz kwa ufafanuzi wake kosa liko wapi
Salama mlilala baada ya kuchoka.Mmeamkaje?Hoja zetu zitajibiwa tukiamka salama
Mmeamka na kisirani baada ya kuzozana na mmeo !!Salama mlilala baada ya kuchoka.Mmeamkaje?
Nini kisirani chenu jana usiku wewe na mumeo ?Mmeo wingi wake ni nini?
Tuliyokufunda huyatendei haki kabisa mpaka sasa hujaamkaWapi umeelimishwa? Hawakukujuza namna ya kutumia hekima ya maongezi? Epuka sana u mimi na u wewe na pendelea sana kutumia u wingi.
Ni hekima kubwa sana tuliyokufunda.
Hujaamka kwa kuwa ulizimia baada ya mshtuko uliyopagwa.....Tuliyokufunda huyatendei haki kabisa mpaka sasa hujaamka
Uliyopangwa umesahau tayari, njoo nikuonyeshe hukuHujaamka kwa kuwa ulizimia baada ya mshtuko uliyopagwa.....