mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Hili jamvi ni limegawanyika kwa mambo mengi kuna burudani,elimu na hata kufahamianaKuelewana ni jambo la msingi sana kwa wana jamvi hili
Hili jamvi ni limegawanyika kwa mambo mengi kuna burudani,elimu na hata kufahamianaKuelewana ni jambo la msingi sana kwa wana jamvi hili
Hili linajulikana hata kwa modsKuelewana ni jambo la msingi sana kwa wana jamvi hili
Mods hawalali au wana shift ?Hili linajulikana hata kwa mods
Shift zinachosha haswa daktari wodi ya wazaziMods hawalali au wana shift ?
Wazazi wanadaraja kubwa lazima wapewe heshima katika hii dunia hata kama siyo mzazi wako wa kukuza mradi awe amekuzidi umri basi huna budi kumheshimuShift zinachosha haswa daktari wodi ya wazazi
Kumheshimu baba na mama ni wajibu mkuu kwanguWazazi wanadaraja kubwa lazima wapewe heshima katika hii dunia hata kama siyo mzazi wako wa kukuza mradi awe amekuzidi umri basi huna budi kumheshimu
Kumheshimu mtu ni unyenyekevu na adabu njema ambayo ni barakaWazazi wanadaraja kubwa lazima wapewe heshima katika hii dunia hata kama siyo mzazi wako wa kukuza mradi awe amekuzidi umri basi huna budi kumheshimu
Tupu zao hazna dhamanJiji la Dar tabu tupu.
Kufahamiana mie na wengi humu kumenipa furaha nyingi bila kutegemea..Hili jamvi ni limegawanyika kwa mambo mengi kuna burudani,elimu na hata kufahamiana
Kutegemea Wazazi na tayari umeshafikia umri fulani hivi ni janga ktk majangaKufahamiana mie na wengi humu kumenipa furaha nyingi bila kutegemea..
Husika katika mada ya "mshike mshike" utoe ushuhuda.....Majanga pale unapokosa pesa mahali husika
Nijuze mwari wangu ametekwa na nani mchana huu.....Ushuhuda upi tena embu nijuze
Huu utekwaji umeujuaje wakati hamna yeyote aliyejua
Kwangu sijaangalia bunge
Hilo halina mjadala kila mwenye macho haambiwi tazamaWananchi tunaaibika sana bora kama umeliona hilo