Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,985
- 2,295
Dodoma ulikuwa mji muhimu ila umegeuka kuwa mji wa kujirusha.Kinamna una ujinga unaendelea bungeni dodoma
Dodoma ulikuwa mji muhimu ila umegeuka kuwa mji wa kujirusha.Kinamna una ujinga unaendelea bungeni dodoma
Bunge limegeuka kijiwe.... kwa mtazamo wa kiutu uzima !!!Kinamna una ujinga unaendelea bungeni dodoma
Kujirusha bila kuheshimu maadili ya wana jamii ni moja ya kuburi cha madaraka.....Dodoma ulikuwa mji muhimu ila umegeuka kuwa mji wa kujirusha.
Uzima na uhai havitengamaniBunge limegeuka kijiwe.... kwa mtazamo wa kiutu uzima !!!
Havitengamani kwa sababu hatumshirikishi muumbaUzima na uhai havitengamani
Uzima na uhai havitengamani
Hilo ndo tatzo letu la kuwachagua viongozi ambao hawajali shidazetuWananchi tunaaibika sana bora kama umeliona hilo
Fila na Lila ni nini maana yake embu nijuzeHavitengamani kama Lila na Fila
Shida zetu tunalipeleka kwenye shamba la bibi, hatulipeleki ikulu.....Hilo ndo tatzo letu la kuwachagua viongozi ambao hawajali shidazetu
Ikulu ndimo alimo Rais wetuShida zetu tunalipeleka kwenye shamba la bibi, hatulipeleki ikulu.....
Wetu viongozi wametanguliza maslahi yao binafsiIkulu ndimo alimo Rais wetu
Rais wetu na mcha Mungu,Mtetea wanyonge na masikini na ni rais mchapa kazi... Sasa nyie mtampa tuzo gani la kumjazi ?Ikulu ndimo alimo Rais wetu
Binafsi naona bora tu wasifungwe maana wamesingiziwa kesiWetu viongozi wametanguliza maslahi yao binafsi
Kesi yangu ya kubaka hukumu ni kesho daahBinafsi naona bora tu wasifungwe maana wamesingiziwa kesi
Daaah maisha yamekuwa magumuKesi yangu ya kubaka hukumu ni kesho daah
Hivihivi ndiyo atazoea na kuwachochea wengine kufuata mwenendo..kabisa huyu si wakumuacha hivihivi
Magumu usipojituma.Daaah maisha yamekuwa magumu