mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,755
mwanza coach
Uhai wetu upo mashakani, ukitaka kuamini waulize watu wa Mwanza.
Ziwa lenyewe ni chafu sana wakazi wote wanamwaga taka humo ndo sababu ya magonjwa sugu yasiyoisha huko !!!!!Mwanza jiji zuri likinakishwa na ziwa
Ziwa lenyewe ni chafu sana wakazi wote wanamwaga taka humo ndo sababu ya magonjwa sugu yasiyoisha huko !!!!!
Nipajue huko mchafukoge ndipo chanzo cha majitaka yanayo chafua ziwa na mazingira.....huko ulipohamia nitapatafuta hadi nipajue
Nipajue huko mchafukoge ndipo chanzo cha majitaka yanayo chafua ziwa na mazingira.....
Viroba sasa marufuku !! wabongo watarudia gongo kali....mazingira yaliyopo eneo la unga ltd yanahalalisha unywaji wa viroba!
Viroba sasa marufuku !! wabongo watarudia gongo kali....
Soda mpe ZZ ndiyo zake... masikini ya Mungu chochote tu kinamfaa...Kali zinawaharibu bora warudi kunywa maji na soda😀
Soda mpe ZZ ndiyo zake... masikini ya Mungu chochote tu kinamfaa...
Nyeupe kweupe pee atakimbia huyo na kumwaga vumbu wala hutomuona......😛kinamfaa zaidi wine tena iwe nyupe
Nyeupe kweupe pee atakimbia huyo na kumwaga vumbu wala hutomuona......😛
Busy like Bee's day in day outhutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy
Busy gani? atayakimbia maWine yenu... Labda mlete soda chungu !!hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy
Busy gani? atayakimbia maWine yenu... Labda mlete soda chungu !!
Unatarajia nini ikiwa UFISADI ndiyo kikwazo kikubwa kinacho kula taifa la wanyonge.....chungu ya maisha ni pale usipate kile unachotarajia
Wanyonge hawana nguvu mpaka wenye nguvu wapendeUnatarajia nini ikiwa UFISADI ndiyo kikwazo kikubwa kinacho kula taifa la wanyonge.....
Wanyonge hawana nguvu mpaka wenye nguvu wapende
Hawapo kifikra lakini wote tumeumbwa tuishi pamoja duniani kwa kuelewanawapende vipi wakati bila wanyonge wao hawapo