Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Huku kuna asali taamu njooni niwaonjeshe au niwarambishe !!!Uliyopangwa umesahau tayari, njoo nikuonyeshe huku
Huku kuna asali taamu njooni niwaonjeshe au niwarambishe !!!Uliyopangwa umesahau tayari, njoo nikuonyeshe huku
Niwarambishe asali mbichi ambayo ni dawaHuku kuna asali taamu njooni niwaonjeshe au niwarambishe !!!
Niwarambishe, hilo neno limekaa kifigisu figisu.Huku kuna asali taamu njooni niwaonjeshe au niwarambishe !!!
Figisu, figisu za Tanzania ni sukariNiwarambishe, hilo neno limekaa kifigisu figisu.
Sukari,asali havina figisu figusu tuwe wakweli....Figisu, figisu za Tanzania ni sukari
Wakweli siku zote huwa na furahaSukari,asali havina figisu figusu tuwe wakweli....
Furaha uleta maendeleoWakweli siku zote huwa na furaha
Maendeleo ni matokeo ya juhudi na maarifa ya wananchiFuraha uleta maendeleo
Wananchi wa tanzania ni wavivuMaendeleo ni matokeo ya juhudi na maarifa ya wananchi
Wavivu kwa sababu hakuna ushindaniWananchi wa tanzania ni wavivu
Ushindani pekee ni changamoto.., ila pia Neema za ardhi hii shamba la bibi (Tza) limetuduwaza na kutulemaza.....Wavivu kwa sababu hakuna ushindani
Kutulemaza ni matokeo ya kuaminishwa kuwa kila kitu cha ummaUshindani pekee ni changamoto.., ila pia Neema za ardhi hii shamba la bibi (Tza) limetuduwaza na kutulemaza.....
Umma ilitumika kama kauli mbiyu kuwanufaisha watawala..Kutulemaza ni matokeo ya kuaminishwa kuwa kila kitu cha umma
Watawala africa ni wababeUmma ilitumika kama kauli mbiyu kuwanufaisha watawala..
Wababe kwa kujiundia magenge ya vitisho,ukkatili hadi maiuaji 😱!!!Watawala africa ni wababe
Mauaji ya watu wasiokuwa na hatiaWababe kwa kujiundia magenge ya vitisho,ukkatili hadi maiuaji 😱!!!
Hatia ya aina zote huwa na hukumu za kisheria.., iweje kundi moja litumie mkono wa chuma?Mauaji ya watu wasiokuwa na hatia
Chuma chakavu imekuwa dili kwa vijanaHatia ya aina zote huwa na hukumu za kisheria.., iweje kundi moja litumie mkono wa chuma?
Vijana ndiyo kioo cha nchi, Vijana ndiyo akisi la taifa likoje, Lakini vijana wanapuzwa kinamna..Chuma chakavu imekuwa dili kwa vijana
Kinamna una ujinga unaendelea bungeni dodomaVijana ndiyo kioo cha nchi, Vijana ndiyo akisi la taifa likoje, Lakini vijana wanapuzwa kinamna..