Turnoff
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 764
- 913
Aina ya makabila haituzuii watanzania kupendanaNyingi Ni makabila Na lugha za kila aina
Aina ya makabila haituzuii watanzania kupendanaNyingi Ni makabila Na lugha za kila aina
Kupendana ni mfumo uliyojengeka moyoni mwa wanaadamu na wanyama pia....Aina ya makabila haituzuii watanzania kupendana
Pia njaa inauma ndg yangu Zamilun tutaonana tena jioni.Kupendana ni mfumo uliyojengeka moyoni mwa wanaadamu na wanyama pia....
Jioni hii kuna mechi ya mpira huko uwanjani.....Pia njaa inauma ndg yangu Zamilun tutaonana tena jioni.
Uwanjani wapi sasa, Taifa?Jioni hii kuna mechi ya mpira huko uwanjani.....
Taifa hili sijui hatma yake nini, maana sukari imekuwa ghali kama sembe kinondoniUwanjani wapi sasa, Taifa?
Kinondoni sembe sio sana kama kipindi cha NyumaTaifa hili sijui hatma yake nini, maana sukari imekuwa ghali kama sembe kinondoni
Nyuma ya pazia kuna matendo ya kifisadi na siasa za ubabaishaji....Kinondoni sembe sio sana kama kipindi cha Nyuma
Ubabaishaji hautaweza kwisha kwenye hii nchiNyuma ya pazia kuna matendo ya kifisadi na siasa za ubabaishaji....
Nchi huwa haina dhambi yeyote, bali wananchi ndo huipelekesha !!Ubabaishaji hautaweza kwisha kwenye hii nchi
uipelekesha kwa sababu hawana maarifa na hawatumii BusaraNchi huwa haina dhambi yeyote, bali wananchi ndo huipelekesha !!
Aina gan ya kuku ni wazuri kwa kulaNyingi Ni makabila Na lugha za kila aina
Kula na kulipa ndiyo mtindo wa mjini......Aina gan ya kuku ni wazuri kwa kula
Mjini watu wanakula kwa kuvizia sanaKula na kulipa ndiyo mtindo wa mjini......
Sana sana tutamshauri alipe deni la benki kuepuka balaa ya kunyanganywa nyumba !!!Mjini watu wanakula kwa kuvizia sana
Nyumba ndogo zinasumbua sanaSana sana tutamshauri alipe deni la benki kuepuka balaa ya kunyanganywa nyumba !!!
Sana zaidi ya hapo itakupasa uhamie ghorofani katikati ya jiji 😛!!!Nyumba ndogo zinasumbua sana
Jiji la Dar tabu tupu.Sana zaidi ya hapo itakupasa uhamie ghorofani katikati ya jiji 😛!!!