mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Duniani siku hizi watu utu umewatoka kabisaHaitosimama milele Ni dhuluma Na maonezi ya binaadamu kote duniani
Duniani siku hizi watu utu umewatoka kabisaHaitosimama milele Ni dhuluma Na maonezi ya binaadamu kote duniani
Barikiwa na wewe upate kuyanywa na kujitaharisha nayo, ukiyapata mpe na mwenzio...😀
Kalala fofofo saa hizi kwani anaumwa?Mwenzio Mtebetini bado kalala fofofo
"Tafakari" kabla ya kuzungumza loloteDunia ni kitu duni.. na duni kwa kiaarabu ni chembe kisichofaa..."tafakari"
FoFoFo kibiashara wansema hivi Fast come,Fast serve,Fast out sasa usimuamshe ndugu yetu hadi mawaidi yatakapotimia....Mwenzio Mtebetini bado kalala fofofo
Lolote linaweza tokea kwenye mvutano wa kisiasa "vuta ni kuvute""Tafakari" kabla ya kuzungumza lolote
Duniani siku hizi watu utu umewatoka kabisa
FoFoFo kibiashara wansema hivi Fast come,Fast serve,Fast out sasa usimuamshe ndugu yetu hadi mawaidi yatakapotimia....
Utalielewa sasa... Mawaidi = miadi yaani muda muafaka au muda maalumu kwa kiengeraza ni appointment !!!Yatakapotimia duh ZZ mbona neno mawaidi silielewi
Appointment yangu kwa Daktari nimechelewa sababu kulikuwa na foleni barabaraniUtalielewa sasa... Mawaidi = miadi yaani muda muafaka au muda maalumu kwa kiengeraza ni appointment !!!
Barabarani tunapoteza muda/wakati mwingi kuliko sehemu za kazi na pote pengine.....Appointment yangu kwa Daktari nimechelewa sababu kulikuwa na foleni barabarani
Barabarani tunapoteza muda/wakati mwingi kuliko sehemu za kazi na pote pengine.....
Foleni za asubuhi na jioni zinasababisha wengi kuchelewa majumbaniPengine ndugu Mtebetini nilifikiri umelala fofofo wenzio tukinywa Maji ya Zam Zam.Kumbe mwenzetu alikuwa kwenye foleni
Foleni za asubuhi na jioni zinasababisha wengi kuchelewa majumbani
Wao wanapenda isipokuwa changamoto za maishaMajumbani wanachelewa wale wasio taka kuwaona wapenzi wao
Wao waja leo siye twenda zetu watakao baki ni nyie mtaelewana....Majumbani wanachelewa wale wasio taka kuwaona wapenzi wao
Mtaelewana pale nitakapo amua kujiondoa kwenye mashindoWao waja leo siye twenda zetu watakao baki ni nyie mtaelewana....
Mashindano ya kitaifa tunashindwa kuonekana...Mtaelewana pale nitakapo amua kujiondoa kwenye mashindo
Mashindano ya kitaifa tunashindwa kuonekana...