Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mchawi wa vitabu au mchawi wa vibuyu wote walaaniwe.....Misononeko pamoja na msongo wa mawazo bila kusahau upweke waswahili wansema mkata wingi mchawi
Mchawi wa vitabu au mchawi wa vibuyu wote walaaniwe.....Misononeko pamoja na msongo wa mawazo bila kusahau upweke waswahili wansema mkata wingi mchawi
waalaniwe wote walioficha sukariMchawi wa vitabu au mchawi wa vibuyu wote walaaniwe.....
Sukari imekuwa adimu kwa sababu sifuatazo:- moja mbili tatu... endelezawaalaniwe wote walioficha sukari
Masikini hafilisikiEndeleza juhudi zako ktk kutafuta maisha usitegemee cha ndugu utakufa maskini
hafilisiki kwa kuwa hana kitu.Masikini hafilisiki
Kitu gani kinachokufanya uhuzunikehafilisiki kwa kuwa hana kitu.
uhuzunike hata ushindwe kula?Kitu gani kinachokufanya uhuzunike
Kula ilhali umekunja uso na chakula umezidisha chumvi mwenyeweuhuzunike hata ushindwe kula?
mwenyewe ndio mimi mamaKula ilhali umekunja uso na chakula umezidisha chumvi mwenyewe
mama na mwana wote mpo jf sa hizimwenyewe ndio mimi mama
Hizi ni nyakati za kuamkamama na mwana wote mpo jf sa hizi
Kuamka akati ndo kwaaaaanza nautafta ili nipge mbonjiHizi ni nyakati za kuamka
Mbonji saa hizi mbona mapemaKuamka akati ndo kwaaaaanza nautafta ili nipge mbonji
ohooooo!! Kumbe saa hizi ni saa 10:20 alfajir ngoja nikatafute usingiziMapema wapi bana, jogoo anakalibia kuwika we chelewa tu ohooooo!!!
Usingizi umekata ngoja niamke toka kitandani nielekee sebuleni ili nipige goti na kumshirikisha Mungu katika maisha yangu.ohooooo!! Kumbe saa hizi ni saa 10:20 alfajir ngoja nikatafute usingizi
Yangu macho sina usemi namshukuru Mwenyezi Mungu kumekucha salamaUsingizi umekata ngoja niamke toka kitandani nielekee sebuleni ili nipige goti na kumshirikisha Mungu katika maisha yangu.
Salama? Mbona namfahamu huyo si yule mtangazaji wa EATV? Namkubali Ana maneno kama Chiriku.Yangu macho sina usemi namshukuru Mwenyezi Mungu kumekucha salama
Chiriku ni ndege mwenye mvutoSalama? Mbona namfahamu huyo si yule mtangazaji wa EATV? Namkubali Ana maneno kama Chiriku.