oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Kwake? mbona bado hakijaeleweka
Hakijaeleweka kwasababu bado anabaniwa
Kwake? mbona bado hakijaeleweka
Anabaniwa ila ndiyo sehemu ya mchezo!Hakijaeleweka kwasababu bado anabaniwa
Vitwanga viwili, vitatu vinachangamsha mtima.Unachangamsha kama umekunjwa vitwanga!
Mtima......?????
Mchezo ndo kwaaanza unanoga
Mtima wange lugha ya kihaya
Mchezo huu leo umekwisha nini mbona kimya?Anabaniwa ila ndiyo sehemu ya mchezo!
Kimya sababu nilikuwa nahanja mitaa mingine kwenye pilikapilika za mwisho wa jumaMchezo huu leo umekwisha nini mbona kimya?
juma ndo linaanza vitwanga tuviweke pembeniKimya sababu nilikuwa nahanja mitaa mingine kwenye pilikapilika za mwisho wa juma
Pembeni amewekwa Kitwanga akaendelee kuvitwanga vitwanga.juma ndo linaanza vitwanga tuviweke pembeni
Vitwanga huu msemo una ashiria vinavyo twangwa ni vidogo au vichache.Pembeni amewekwa Kitwanga akaendelee kuvitwanga vitwanga.
Vichache kivipi wakati niliongezeaVitwanga huu msemo una ashiria vinavyo twangwa ni vidogo au vichache.
Chakali mpaka akadondokea mtaroniVichache ni vitwanga alivyokunywa vikamfanya alewe chakali.
Mtaroni akakuta ndipo walikoficha sukari