Nakubali kuwa humu jamvini kuna maalwatanNakataa Zuley kuwa babu ni mmoja lakini wajukuu wake hawafanani mie nakubali........
MaAlwatan si wakuchezea kwa sababu utani wao ni wa jadi.......Nakubali kuwa humu jamvini kuna maalwatan
Humo humo alimfuata japo pango lilikuwa refu na kiza.....Mkondo mwingine ni maji machache yanayoweza pitia humo
Wanasiasa! Hahaha.. ndiyo hivyo tena wameanza kutumbuana.Kiza kinene sioni pa kupapasa, mara kwa mbali naona wanasiasa...
Kutumbuana wataumizana mi nionavyo wanaumbuanaWanasiasa! Hahaha.. ndiyo hivyo tena wameanza kutumbuana.
Wanaumbuana hadharani kwa sababu wamekudhulumianaKutumbuana wataumizana mi nionavyo wanaumbuana
Wamekudhulumiana ingekuwa vizuri zaidi baada ya kudhulumiana wangeshitakianaWanaumbuana hadharani kwa sababu wamekudhulumiana
Wangeshitakiana wapi na mahakama ndio wanaimiliki.Wamekudhulumiana ingekuwa vizuri zaidi baada ya kudhulumiana wangeshitakiana
Wanaimiliki ila hati miliki hana mpaka msajili atakapo wasajiliWangeshitakiana wapi na mahakama ndio wanaimiliki.
Wasajili wakuu ndio wao,Wanaimiliki ila hati miliki hana mpaka msajili atakapo wasajili
Wanangoja kupelekewa nyaraka za kuthibitisha uhalali wa umilikiWasajili wakuu ndio wao,
Nini wanangoja
umiliki wa wimbo ni wa msanii au producerWanangoja kupelekewa nyaraka za kuthibitisha uhalali wa umiliki
Producer hawezi kuwa mmiliki yeye ni mzalishajiumiliki wa wimbo ni wa msanii au producer
mzalishaji yupo labor kijanaProducer hawezi kuwa mmiliki yeye ni mzalishaji
Kijana huko labor ni wapimzalishaji yupo labor kijana
wapi wamama wanakozalishwa?Kijana huko labor ni wapi
Wanakozalishwa wazazi huitwa theater au wodini?wapi wamama wanakozalishwa?