Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mvuto wake usikubabaishe ukaja ingia kichwa kichwa itakula kwako !!Chiriku ni ndege mwenye mvuto
Mvuto wake usikubabaishe ukaja ingia kichwa kichwa itakula kwako !!Chiriku ni ndege mwenye mvuto
Kwako kuna maua yasmin mengi ndio maana kunanukiaMvuto wake usikubabaishe ukaja ingia kichwa kichwa itakula kwako !!
Kunanukia kwa kuwa mbali kuwepo yasmin kuna kiluaKwako kuna maua yasmin mengi ndio maana kunanukia
Kilua ndo nini,napita tuKunanukia kwa kuwa mbali kuwepo yasmin kuna kilua
Napita tu, na pia nimewaletea salamuKilua ndo nini,napita tu
Salamu za amani na upendo tunazipokea....Napita tu, na pia nimewaletea salamu
Salamu toka kwa rais wetuNapita tu, na pia nimewaletea salamu
salamu za alikiba kwenye lupela au salam tmkNapita tu, na pia nimewaletea salamu
TMK ni kiwanda cha kutengeneza feni za ukuktani.....salamu za alikiba kwenye lupela au salam tmk
ukutani kukipakwa rangi nyeupe huchangia sana kuleta usingiziTMK ni kiwanda cha kutengeneza feni za ukuktani.....
Usingizi ni moja ya ukuuaji wa mwili.....ukutani kukipakwa rangi nyeupe huchangia sana kuleta usingizi
...mwili ukiwa mkubwa kuliko akili ni tatizoUsingizi ni moja ya ukuuaji wa mwili.....
Tatizo la aina yeyote hutatuliwa kwa hekima na busara...mwili ukiwa mkubwa kuliko akili ni tatizo
Maisha yanahitaji amaniBusara ndo kila kitu katika maisha
Amani Amana Imani Amini yote ni kitu kimoja... Sasa tafakari ipi uitakayoMaisha yanahitaji amani
Uitakayo?Hayo maneno hayafanani ZZ nakataaAmani Amana Imani Amini yote ni kitu kimoja... Sasa tafakari ipi uitakayo
Nakataa Zuley kuwa babu ni mmoja lakini wajukuu wake hawafanani mie nakubali........Uitakayo?Hayo maneno hayafanani ZZ nakataa
Mchakamchaka ni kuelimishana na kujitambua baadae mambo mengine yatafuata mkondo !!!Nakubali yakwamba sasa hivi Tanzania inapelekwa mchakamchaka