mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Asali ni kimiminika chenye dawa na lisheSukari gani?mbona tunatumia asali
Asali ni kimiminika chenye dawa na lisheSukari gani?mbona tunatumia asali
Mambo gani utayakabili kwa silaha kama hujatiwa mbaroni.....!!Akili ni moja ya silaha muhimu sana katika kuyakabili mambo.
Mambo na habari za mwisho wa jumaa wanajamviAkili ni moja ya silaha muhimu sana katika kuyakabili mambo.
Wanajamvi tuwazima haswa pande za ArachugaMambo na habari za mwisho wa jumaa wanajamvi
Arachuga ni mkoa WA wajanjaWanajamvi tuwazima haswa pande za Arachuga
Wajanja wanajulikana wapo mji gani Tanzania hii hawapendi kujikwezaArachuga ni mkoa WA wajanja
Wajanja kwa kuvaa maswetaArachuga ni mkoa WA wajanja
Masweta ya rangi nyeusi nayapenda sana kuyavaa maana huwaga yananitoa chicha.Wajanja kwa kuvaa masweta
Wajanja kwa kuvaa masweta
Chicha za nazi?Masweta ya rangi nyeusi nayapenda sana kuyavaa maana huwaga yananitoa chicha.
Nazi tamu sanaChicha za nazi?
Sana sana unaishia kufyonza tuu la nazi bora useme mafuta yake yana ukakasi....Nazi tamu sana
Ukakasi wa ile khali ya kutaka kukojoa ni tamu sana.Sana sana unaishia kufyonza tuu la nazi bora useme mafuta yake yana ukakasi....
Nyongeza hamna siku hizi watu wanabana matumiziMasweta kuvaa kumbe ujanja mi sina cha nyogeza![]()
Matumizi makubwa ya umeme yanaweza kudhibitiwa kwa njia mbadalaNyongeza hamna siku hizi watu wanabana matumizi
Asali ni dawa nzur kwa maradhi mbalimbaliSukari gani?mbona tunatumia asali
Mbalimbali kuishi na wanafamilia huongeza upendo na huondoa misononeko....Asali ni dawa nzur kwa maradhi mbalimbali
Misononeko pamoja na msongo wa mawazo bila kusahau upweke waswahili wansema mkata wingi mchawiMbalimbali kuishi na wanafamilia huongeza upendo na huondoa misononeko....