Machel ni jina linalokubalika na kutumika katika mabara yote na duniani...Wakimbizi ni wenzetu tokea akina Samora Machel
MACHEL yule wa msumbiji?Wakimbizi ni wenzetu tokea akina Samora Machel
dunian kote hadi mweziniMachel ni jina linalokubalika na kutumika katika mabara yote na duniani...
Mwezini kuna uhai na maisha ndiyo maana makazi yameshaanza kujengwa....dunian kote hadi mwezini
Kujengwa kwa uzi huu kunahitaji nguvu nyingiMwezini kuna uhai na maisha ndiyo maana makazi yameshaanza kujengwa....
Nyingi zime sababisha bei kushuka na soko kuporomokaKujengwa kwa uzi huu kunahitaji nguvu nyingi
Kuporomoka kutoka chini kwenda juu hakuwezekaniNyingi zime sababisha bei kushuka na soko kuporomoka
Hakuwezekani kumgeuza aliyekuwa mzitoKuporomoka kutoka chini kwenda juu hakuwezekani
Mzito na mnene mpaka anatishaHakuwezekani kumgeuza aliyekuwa mzito
Anatisha yule mnyama anapochokuzwa....Mzito na mnene mpaka anatisha
Anapochokozwa anakuwa kama mbogoAnatisha yule mnyama anapochokuzwa....
Mbogo wa Tanzania kwa sasa ni nani ? jee atawezakutumbuliwa?Anapochokozwa anakuwa kama mbogo
Kutumbuliwa lazima utafutiwe nafasi kama ktk majukwaa au uzinduzi usije chafua watu kwa usahaMbogo wa Tanzania kwa sasa ni nani ? jee atawezakutumbuliwa?
Usaha wangu ni wino wa dhahabu wenye uwezo watautumia kuandikia......Kutumbuliwa lazima utafutiwe nafasi kama ktk majukwaa au uzinduzi usije chafua watu kwa usaha
Usaha kutamkwa hili neno linaleta kinyaaKutumbuliwa lazima utafutiwe nafasi kama ktk majukwaa au uzinduzi usije chafua watu kwa usaha

Kuandikia usaha kwa kutumia kalamu gani?Usaha wangu ni wino wa dhahabu wenye uwezo watautumia kuandikia......
kalamu ya ubao ndiyo yeneye hadhi....Kuandikia usaha kwa kutumia kalamu gani?
Hadhi ya kalamu si tatizo ngoma ipo kwenye uwezokalamu ya ubao ndiyo yeneye hadhi....![]()