kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Yasioeleweka Tz ni mengi mno eti mtu kafariki ila anapokea mshahara.Kuku wa sikuhizi ni hatari kuwala maana wanalishwa chakula chenye kusababisha maeradhi na magonjwa yasiyoeleweka
Yasioeleweka Tz ni mengi mno eti mtu kafariki ila anapokea mshahara.Kuku wa sikuhizi ni hatari kuwala maana wanalishwa chakula chenye kusababisha maeradhi na magonjwa yasiyoeleweka
Mshahara huo sianautumia huko kaburini na huwatumia warithi wake kwa njia ya uganga!!Yasioeleweka Tz ni mengi mno eti mtu kafariki ila anapokea mshahara.
Mshahara huo sianautumia huko kaburini na huwatumia warithi wake kwa njia ya uganga!!Yasioeleweka Tz ni mengi mno eti mtu kafariki ila anapokea mshahara.
tu wengi vilazamkuu wa kaya anasema hapa kazi tu
uganga njaa mbayaMshahara huo sianautumia huko kaburini na huwatumia warithi wake kwa njia ya uganga!!
mbaya zaidi ni wale waganga wa mijiniuganga njaa mbaya
Mijini huwa ina wanga usiku tu wakati mchana unakuwa nae iranimbaya zaidi ni wale waganga wa mijini
Mijini huwa ina wanga usiku tu wakati mchana unakuwa nae Jirani...mbaya zaidi ni wale waganga wa mijini
Jirani una maneno wewe, kwani nawewe mwanga?Mijini huwa ina wanga usiku tu wakati mchana unakuwa nae Jirani...
Mwanga gani? Wa mwenge Au wamwezi?Jirani una maneno wewe, kwani nawewe mwanga?
Mwanga gani? Wa mwenge Au wamwezi?
Kumamoto huko li tsunami limetingisha sana.Ila tuna waombea dua Ndugu zetu wa kumamoto.Wamwezi wa kazi gani ila Tuwape pole Japani kwa mtetemeko huko kumamoto
Kumamoto huko li tsunami limetingisha sana.Ila tuna waombea dua Ndugu zetu wa kumamoto.
K'moto inaililia mb obaridi iipoze maana tetemeko lilitokana na midundo...!!😛Kumamoto sjui ardhi yao inanini ila hakuna lililo kuwa na mwanzo likakosa mwisho mitetemeko itaisha huko kumamoto
Midundo gani tena ZZ?K'moto inaililia mb obaridi iipoze maana tetemeko lilitokana na midundo...!!😛
ZZ ni mchangiaji maarufu wa hii threadMidundo gani tena ZZ?
Thread hii itakupeleka hadi kwa Heaven on Earth ufikapo mwisho wa uhai duniani...ZZ ni mchangiaji maarufu wa hii thread
Duniani kuna vituko sanaThread hii itakupeleka hadi kwa Heaven on Earth ufikapo mwisho wa uhai duniani...
Sana si sana kama walimwengu kuwa juu ya mgongo wa dunia.....Duniani kuna vituko sana
Sana si sana kama walimwengu kuwa juu ya mgongo wa dunia.....