mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Jamii inakutegea kwa kuwa wewe ni kiongoziuwezo niliyo nao ni wa kubeba majukumu yangu na siyo wa jamii...
Jamii inakutegea kwa kuwa wewe ni kiongoziuwezo niliyo nao ni wa kubeba majukumu yangu na siyo wa jamii...
Kiongozi ni mtebetini naye ndo alonifunza kuchangia mada.....Jamii inakutegea kwa kuwa wewe ni kiongozi
Wengi wetu katika mada hii ni wahafidhina......Mada za ngono zina wafuasi wengi
CCM ni chama tawalaMawazo aliuawa na watu wa CCM
Tawala napendekeza tutawaliwe na zamiluniCCM ni chama tawala
ZZ huyu ataiga na kufuata nyayo za Rais JPM, maana walikuwa maClassmate...Tawala napendekeza tutawaliwe na zamiluni
Maclassmate wapi wakati mimi nilikuwa darasa moja na weweZZ huyu ataiga na kufuata nyayo za Rais JPM, maana walikuwa maClassmate...
Jamii ni sisi wenyeweWewe unapaswa ujikubali kabla hujakubalika katika jamii.
Wewe si ulikuwa mtoro na akina Prince !!!Maclassmate wapi wakati mimi nilikuwa darasa moja na wewe
Prince wa U.K ana watoto wangapi?Wewe si ulikuwa mtoro na akina Prince !!!
Wangapi watakao rithi ufalme.....?Prince wa U.K ana watoto wangapi?
ufalme wa mbinguniWangapi watakao rithi ufalme.....?
Ufalme ni wako mkuuWangapi watakao rithi ufalme.....?
Mkuu mie napotezea maana Leadership ni responsibility kubwa, nami sintoridhika mtu alale njaa.....Ufalme ni wako mkuu
Njaa ni sehemu ya your responsibility kushughulikiaMkuu mie napotezea maana Leadership ni responsibility kubwa, nami sintoridhika mtu alale njaa.....
Kushughulikia lishe ni moja ya uzoefu wangu, ila wapo wale wazazi walalao wa5 kitanda kimojaNjaa ni sehemu ya your responsibility kushughulikia
Kimoja ni lishe lakini kuna mengi yanakukabiliKushughulikia lishe ni moja ya uzoefu wangu, ila wapo wale wazazi walalao wa5 kitanda kimoja