mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Inacheka nawe kwa sababu unafuraha.wahenga wa majuu walisema.Tabasamu ni sadaka unayotoa lakini hufilisiki.Dunia km kioo ukiichekea nayo inacheka
Inacheka nawe kwa sababu unafuraha.wahenga wa majuu walisema.Tabasamu ni sadaka unayotoa lakini hufilisiki.Dunia km kioo ukiichekea nayo inacheka
Inacheka nawe kwa sababu unafuraha.wahenga wa majuu walisema.Tabasamu ni sadaka unayotoa lakini hufilisiki.
Anafilisika maskini wa akili.Tajiri wa akili hafilisiki kamweHufilisiki ukiwa masikini lkn tajiri anafilisika
Anafilisika maskini wa akili.Tajiri wa akili hafilisiki kamwe
Vidagaa vya mwanza vina michangaKamwe Serikali ya magufuli haiwezi kuwa na maendeleo makubwa kwasababu anatumbua vidagaa
Matope ndiyo yalikuwa matofali ya kujengea nyumba enzi zetu !!!Michanga bila kukung'utwa itakuwa matope
Matope?Matope gani Mtebetini mbona unatoka kwenye mstari tena ilibakia kidogo nianze kumung'unya maneno.Michanga bila kukung'utwa itakuwa matope
Maneno yako nimeyapenda ila sijui wewe ntakupenda?Matope?Matope gani Mtebetini mbona unatoka kwenye mstari tena ilibakia kidogo nianze kumung'unya maneno.
Ntakupenda heee yamekuwa hayo ya mapenzi!Maneno yako nimeyapenda ila sijui wewe ntakupenda?
mapenzi gani.....huu wimbo aliimba banana zoro kipindi niko igombe usisyaNtakupenda heee yamekuwa hayo ya mapenzi!
Michanga bila kukung'utwa itakuwa matope
Usisya ni kijiji kandokando na ziwa victoria au nimekosea?mapenzi gani.....huu wimbo aliimba banana zoro kipindi niko igombe usisya
Namna ya kutengeneza juice ya mchaichai....Matope ya dar es salaam na mvua hizi yanakera sana ila ndo hamna namna
nimekosea kuelezea,hii ni usisya yakule simbo tabora karibu na kakolaUsisya ni kijiji kandokando na ziwa victoria au nimekosea?
Mchaichai ni mzuri sana kwa afyaNamna ya kutengeneza juice ya mchaichai....
Afya ya wakazi wa mdongoporomoka yapo hatarini......Mchaichai ni mzuri sana kwa afya
Kakola kuna kambi kadha za wakimbizi....nimekosea kuelezea,hii ni usisya yakule simbo tabora karibu na kakola
Wakimbizi wengi hutetheka thanaKakola kuna kambi kadha za wakimbizi....
Thana na thumni ni matamshi ya mwenye ulimi wa the-thee, je wee Mainus ni mthethee?Wakimbizi wengi hutetheka thana