danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Nisameheni halijakaa vyema kuanzisha sentensi. Hata hivyo tushakusamehe kabla hujakosea
Hujakosea kumsamehe mkuu hapo juuNisameheni halijakaa vyema kuanzisha sentensi. Hata hivyo tushakusamehe kabla hujakosea
Ushindi utapatikana Donald Trump akiwa Rais US na kuzima access ya Internet Africamengine hayataweza kuendelea mpka ww uache kung'ang'ania upewe ushind
Africa haiwez kuzmwa enternet kwa mpumbavu mmoja kama trumpUshindi utapatikana Donald Trump akiwa Rais US na kuzima access ya Internet Africa
Trump anaweza akawashawishi wazungu warudi kuitawala tena AfrikaAfrica haiwez kuzmwa enternet kwa mpumbavu mmoja kama trump
Africa haiwez kutawaliwa tena na wazungu hata huyo trump awashawish uchi hao wazunguTrump anaweza akawashawishi wazungu warudi kuitawala tena Afrika
Wazungu hawawezi kuja kututawala tena maana tushaelimika tumetoka karne za zamaniAfrica haiwez kutawaliwa tena na wazungu hata huyo trump awashawish uchi hao wazungu
Kiuhakika wote hatujui magufuli atatufikisha wapi 2020Sugu ni matokeo ya kulimbikiza tatizo/ janga badala ya kulitatua kiuhakika
2020 lowassa anachukua nchiKiuhakika wote hatujui magufuli atatufikisha wapi 2020
Kilishindwa kweli, ila kilitoa changamoto kubwa mnoDemokrasia na maendeleo kilishindwa
Kubwa mno kodi wanayokatwa watumushi kulinganisha na wanachokipata.Kilishindwa kweli, ila kilitoa changamoto kubwa mno