Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Mchezo wa soka ndio wenye washabiki wengi duniani.Yetu macho kwa wanaokimbilia ndoa wakijua mchezo
Mchezo wa soka ndio wenye washabiki wengi duniani.Yetu macho kwa wanaokimbilia ndoa wakijua mchezo
Duniani tunapitaMchezo wa soka ndio wenye washabiki wengi duniani.
mkuu yaan hujui kuwa huo ni mchezo wa kitandani?Ngono ni mchezo mkuu???
Mkuu manchonso ngono ni mchezo kweliNgono ni mchezo mkuu???
kweli ngono ni mchezo na uwanja ni godoroMkuu manchonso ngono ni mchezo kweli
godoro sawa ndo uwanja, lakini mbona refa hakuna? mshindi atapatikana kweli?kweli ngono ni mchezo na uwanja ni godoro
Kweli kabisa mshindi hupatikana kwa yule anayepata goli la mapema..!!godoro sawa ndo uwanja, lakini mbona refa hakuna? mshindi atapatikana kweli?
Mapema sana unakuwa unamnyanyasa mwenza wakoKweli kabisa mshindi hupatikana kwa yule anayepata goli la mapema..!!
Utu peleka kwa humanitarians, HIVI KWA NINI MIJITU INAHARIBU MCHEZO? Marlezo mepesi kabisa inashindwa kufuatilia?? Angalia kama huyu Mbyshiiii, walimu wake na wazazi wana kazi!!Wako wanawake wengine wanapenda pesa kuliko utu
Njanda ndo mdudu gani tena?Wako watu hawajui maana neno njanda
Njanda ndo mdudu gani tena?