Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Ngoma isingekuwepo kusingekuwa na kondom
Kondom mmh mimi hapana tumia.
Ngoma isingekuwepo kusingekuwa na kondom
Kondom sizipend sitaki hata kuzisikiaNgoma isingekuwepo kusingekuwa na kondom
Kuzisikia habari za ukimwi ni kuharibiana sikuKondom sizipend sitaki hata kuzisikia
Siku hizi watu wamekuwa hawaogopi ukimwi kwa sababu ya dawa zitolewazoKuzisikia habari za ukimwi ni kuharibiana siku
zitolewazo dawa zingine ni kama ubuyu tuuSiku hizi watu wamekuwa hawaogopi ukimwi kwa sababu ya dawa zitolewazo
"tuu.. tuu.. " Alisikika Dr. Shein akigugumia kwa kukosa maneno ya kueleza mbele ya Fatou Bensouda.zitolewazo dawa zingine ni kama ubuyu tuu
Tuu hapa kazi, uzi hauishi huuzitolewazo dawa zingine ni kama ubuyu tuu
huu sidhan kama utaisha had ww na ubish wako umekubalTuu hapa kazi, uzi hauishi huu
Kushindwa hapana labda wamtangaze mshindiUmekubali kushindwa
mshindi hawez kupata kwa raia wabish na ngungwa kama wa huu uziKushindwa hapana labda wamtangaze mshindi
Uzi huu una maneno tatanishi ngungwa ni nini?mshindi hawez kupata kwa raia wabish na ngungwa kama wa huu uzi
nini? yaan nashanga jakitoo hujui na maana ya ngungwa na kamshange zote hz zinaoendeleaUzi huu una maneno tatanishi ngungwa ni nini?
Zinazoendelea wapi? Umeniacha tena na kamshangenini? yaan nashanga jakitoo hujui na maana ya ngungwa na kamshange zote hz zinaoendelea
Wapi naweza kupata kuku mweupe ili tuzuie bomoa bomoa?Kamshange ndiyo wapi?