Sijalisikia lile tangazo la chanjo ya mabusha..!!Ipi mngependa kusikia za kisiasa au mpira wa miguu maana mimi hata moja sijalisikia
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa gizaUfafanuzi hutumika kufafanua jambo
Manane imenishinda kuanzisha sentensi..napitaGiza totoro hutokea hasa usiku wa manane
Sentensi imenishinda kuanzisha na neno maneno embu jaribu na wewenapita huku nashangaa kwann manane imekushinda kutungia sentensi
Wewe si umesema imekushinda??na mimi nimeshindwa sasa.Sentensi imenishinda kuanzisha na neno maneno embu jaribu na wewe
wewe sentensi ikukushinda wenzako wanawezaSentensi imenishinda kuanzisha na neno maneno embu jaribu na wewe
Sasa karibia mshindi atapatikana kama sentensi zinagomaWewe si umesema imekushinda??na mimi nimeshindwa sasa.
Zinagoma au tunatafakuri...?Sasa karibia mshindi atapatikana kama sentensi zinagoma
neno gani hilo wakati unavuruga mtiririkoWamisako umenifurahisha ulivyosema njanda kweli watu hawajui nini?hapo umegusa field yangu ndio tunalijua hilo neno.
mtiriko nimevuruga kweli nisamehenineno gani hilo wakati unavuruga mtiririko