mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Wanachokipata hakitoshelezi hata kuendesha familia zao.mbombo ngafu..Kubwa mno kodi wanayokatwa watumushi kulinganisha na wanachokipata.
Wanachokipata hakitoshelezi hata kuendesha familia zao.mbombo ngafu..Kubwa mno kodi wanayokatwa watumushi kulinganisha na wanachokipata.
Mbombo ngafu ndio nini?Wanachokipata hakitoshelezi hata kuendesha familia zao.mbombo ngafu..
SINA UHakika ila nahisi "Kazi ngumu" sijui ni Kinyakyusa!Mbombo ngafu ndio nini?
Kinyakyusa ndioSINA UHakika ila nahisi "Kazi ngumu" sijui ni Kinyakyusa!
Kinyakyusa kigumu ila wanawake wao walaini.SINA UHakika ila nahisi "Kazi ngumu" sijui ni Kinyakyusa!
Walaini kivipi?Kinyakyusa kigumu ila wanawake wao walaini.
Walaini mithili ya ngozi ya mtoto mchanga!kama kuku wa kizungu, hupati tabu kuchinja.Kinyakyusa kigumu ila wanawake wao walaini.
Kivipi??we hujui faida ya ovakado kwenye ngozi??Walaini kivipi?
Ngozi zao ndio laini kumbe ?mi ni lijua ndio ule msemo wa maharage ya mbea maji mara moja!Kivipi??we hujui faida ya ovakado kwenye ngozi??
Maji mara moja unadhani hao wambulu???Ngozi zao ndio laini kumbe ?mi ni lijua ndio ule msemo wa maharage ya mbea maji mara moja!
Wambulu nasikia hawaolewi wakadumu kwenye ndoa moja.mpaka aachwe aolewe kama mara 3 hivi ndio anatulia.Maji mara moja unadhani hao wambulu???
Anatulia mpaka uwe na pesa.Wambulu nasikia hawaolewi wakadumu kwenye ndoa moja.mpaka aachwe aolewe kama mara 3 hivi ndio anatulia.
Pesa wachaga banaaAnatulia mpaka uwe na pesa.
Pesa wachaga banaa
Mimi nishashinda mbona we mchokozi?Banaa, mshindi mimi.
Mimi natamani niwe popobawaBanaa, mshindi mimi.
Popobawa ??kweli hasa unatamani hilo?basi utakuwa u..me..laa.niwa.Mimi natamani niwe popobawa
Mimi nishashinda mbona we mchokozi?
Ngozi ya kitimoto nzuri kwa kutengenezea ngomaMchokozi? Kwani nimekuchuna ngozi.