Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,710
- 5,702
Ngoja nijaribu 🤔Mbona wakitukuta na sare wanatupigq
Ngoja nijaribu 🤔Mbona wakitukuta na sare wanatupigq
Matumizi ya kijana wa kitanzania sio makubwaKaka ukiitafuta kwa shida inahitaji nidhamu katika matumizi
Makubwa sana pale unapokua na warembo wawili au zaidi wazuriMatumizi ya kijana wa kitanzania sio makubwa
Wazuri wakiwa wawili kuna gharama bora upate mmojaMakubwa sana pale unapokua na warembo wawili au zaidi wazuri
Mmoja akionga moderate huu Uzi ufungwe si atakua mshindi ?Wazuri wakiwa wawili kuna gharama bora upate mmoja
? Mshindi ni mimi kwa sasa uzi ufungweMmoja akionga moderate huu Uzi ufungwe si atakua mshindi ?
UFungwe kivipi wakat wa mwisho ni mimi? Mshindi ni mimi kwa sasa uzi ufungwe
Mimi najiuliza kwani kuwa mshindi mnanufaika na niniUFungwe kivipi wakat wa mwisho ni mimi
Mmoja KatekwaWazuri wakiwa wawili kuna gharama bora upate mmoja
Nini kingine zaidi ya pesa au nakosea wadauMimi najiuliza kwani kuwa mshindi mnanufaika na nini
Wadau wapo kimya labda wapo PM ndio mida yaoNini kingine zaidi ya pesa au nakosea wadau
Yao wanafanya pm wakizinguana wanayaleta hadharaniWadau wapo kimya labda wapo PM ndio mida yao
Kufa au?
Hadharani inaonyesha watu hawana siriYao wanafanya pm wakizinguana wanayaleta hadharani
Siri haina maana ikishakuwa na watu wawili walishasema wahengaHadharani inaonyesha watu hawana siri
"Lakini nini?" aliuliza askari aliyemsukuma Tundu Lissu wakiwa kizimbaniUzi umepoa lakini
Wahenga nao Muda mwingine wapuuzwe tu!!Siri haina maana ikishakuwa na watu wawili walishasema wahenga
Wapuuzwe tu wanaomuunga pole pole mkono ni mnafiki yuleWahenga nao Muda mwingine wapuuzwe tu!!
Yule anahoja ya msingi asikilizweWapuuzwe tu wanaomuunga pole pole mkono ni mnafiki yule