dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,710
- 9,883
Kusoma masharti ya game ni vizuri mkuu, samahani lakini masharti ni kuwa unaangalia neno la mwisho la mchangiaji wa mwisho kwenye uzi kisha unaanza kureply kwa kutumia hilo nenoHujui kusoma?
Kusoma masharti ya game ni vizuri mkuu, samahani lakini masharti ni kuwa unaangalia neno la mwisho la mchangiaji wa mwisho kwenye uzi kisha unaanza kureply kwa kutumia hilo nenoHujui kusoma?
Mbaya ni hasaraHasara ni mbayaa
Niache mm huu mchezo unaisha lini mbona mshindi hupatikaniKusoma masharti ya game ni vizuri mkuu, samahani lakini masharti ni kuwa unaangalia neno la mwisho la mchangiaji wa mwisho kwenye uzi kisha unaanza kureply kwa kutumia hilo neno
Hasara aijawaiii kuw nzuri kwa mtuMbaya ni hasara
Mtu yeyote atakayeshiriki uchaguzi huu haramu sio mzalendoHasara aijawaiii kuw nzuri kwa mtu
Mzalendo number 1 ni mwanajeshiMtu yeyote atakayeshiriki uchaguzi huu haramu sio mzalendo
Mbona wakitukuta na sare wanatupigqMzalendo number 1 ni mwanajeshi
Mbona wakitukuta na sare wanatupMzalendo number 1 ni mwanajeshi
Wanatupiga!, wakidhani sisi ni mifugoMbona wakitukuta na sare wanatup
Mifugo pia inahitaji matunzoWanatupiga!, wakidhani sisi ni mifugo
Matunzo Gani zaidi ya kukuuliza kumbe unashindaga hukuMifugo pia inahitaji matunzo
Huku umefikaje kakaMatunzo Gani zaidi ya kukuuliza kumbe unashindaga huku
Ķaka yangu anaoa mwezi wa kumiHuku umefikaje kaka
Kumi ni namba nzuri sanaĶaka yangu anaoa mwezi wa kumi
Sana sana kaka yangu anapatikana usiku mchana anakuwa bizeKumi ni namba nzuri sana
Bize kwani ye anafanya kazi tanpolSana sana kaka yangu anapatikana usiku mchana anakuwa bize
Tanpol ndio shirika gani hiloBize kwani ye anafanya kazi tanpol
Hilo shirika silijui nimelitaja tu kuchangamsha uziTanpol ndio shirika gani hilo
Mambo vipi mkuu kwemaTu, tu, tu, tu, daah hiki kigugumizi hadi kwenye kutype kinanisumbua... Em naomba nifikishe salamu zangu za dhati kwa hawa watu
Folliculostellate
Vincenzo Jr
Mama Debora
sweery
Sognsvann
Degree 11st
Pipiro
Aman Jr
mbwe
Joanah
nathaliswa
fugugu
Uzi umepoa lakiniHilo shirika silijui nimelitaja tu kuchangamsha uzi